Mwanamke akiwa na mkia anajiamini kuliko mwenye degree

Mshangazi dot com

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
1,345
Reaction score
3,503
Eti ni ya kweli haya ?
Naona reply nyingi kwenye nyuzi zangu kua wanawake waliojazia kwenda nyuma ndiyo kila kitu.

Haya mtuambie mnayapendea nini matraaakoooo makubwa πŸ‘?



Vipi wanawake wenye makalio makubwa, huwa mnapata special treatment kwa ajili ya maumbo yenu au ni usumbufu tu?

PS:
Sisi mashangazi, ndiyo tuna matumbo ila msituchukulie poa πŸ‘‡πŸΌ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…