Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Wewe angalia hata ninyi wanawake, mnatoa hela muongezee tako huko mloganzila. Ebu tuambieni ukiwa na tako wanaume huwa wanalifanyia nini?Tumalize huu ubishi, eti ni ya kweli haya ?
Naona reply nyingi kwenye nyuzi zangu kua wanawake waliojazia kwenda nyuma ndiyo kila kitu.
Hata mtuambie mnayapendea nini matraaakoooo makubwa π?
View attachment 3236245
Vipi wanawake wenye makalio makubwa, huwa mnapata special treatment kwa ajili ya maumbo yenu au ni usumbufu tu?
Kadhi Mkuu 1 , wewe ni mmoja kati ya waleta hoja kwenye zile nyuzi zangu. Hebu njoo utoe ya moyoni!
PS:
Sisi mashangazi, ndiyo tuna matumbo ila msituchukulie poa, unaona mambo yetu hapo chini ππΌ
View attachment 3236244
Kama umejaaliwa ebu njoo pm uone kazi ya msambwanda.