Mwanamke akiwa na uhitaji atatumia mwili wake kukuambia anahitaji nini

upupu255

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
418
Reaction score
550
Kwa ukimya aliojaliwa mwanamke humfanya atamke machache katika mengi kwahiyo anahitaji mwanaume mwenye kujiongeza ili kuelewa mwanamke wake anahitaji nini kupitia hekaheka zake anazozifanya iwe kwenye maongezi, vaa yake, anavyokutazama au deko

Kila kiungo cha mwili wa mwanamke kinaweza kinaweza kubeba ujumbe wa hitaji lake na akazipindua hisia za mwanaume hii ni kwa wanaume wanaoweza kusoma ishara na lugha za kike ila wale wenzangu wanapataga shida

Wakati mwingine mwanamke akiwa katika hali ya uhitaji na mwenza wake huwa kama ana pepo na ukimkwepa tu ananuna na akakosa amani anaweza kujitenga, akalala au akawa busy na mambo mengine kwa hasira.

Kwasababu hitaji la mwanamke huwa ni zaidi ya...kwake kipimo cha thamani yake kwa mwanaume. Mwanamke kadri anavyohitajika kwa mume ndivyo anajiona anapendwa, ana thamani na ana mvuto kwa mwanaume wake. Akikwepwa humzalishia maswali juu ya muonekano wake au uzuri wake kuwa umeisha au una mtu mwingine kwenye mahusiano yenu

Ndio maana huwa nasema, mwanamke akiwa huru na mwanaume wake ana njia nyingi za kumfanya mwanaume aje mchezoni.

Kuna wakati ataamua akuvalie kinguo fulani, akae mkao fulani au akutanie ili akuamshie hisia tu ili atimize tamanio lake la kihisia
💝

Kuna wakati atakuambia anaumwa si kwamba anahitaji kwenda hospital au anahitaji dawa ila anahitaji kumbato lako la kihisia na mpe haki ya kikatiba kitanda na mashuka ili yashudie hekaheka za upendo wenu.

Maana kitanda kwa wanandoa kina matumaini mengi nje ya kulala Kuna wakati atakuambia twende tukaoge huko ataenda kukufanyia vituko ili abadilishe hali ya hewa. Akiwa yeye ndiye amekuanza tegemea penzi tamu lisilo na ubinafsi mchawi ni pumzi
 
🚮🚮
 
Back
Top Bottom