Mwanamke akutwa mtupu akiwa ameuawa Shinyanga

Mwanamke akutwa mtupu akiwa ameuawa Shinyanga

Atakua alitamani kunywa maji

Daaa,Siku yakwanza kuingia mjini niliambiwa ukisikia usiku nje kuna aina yeyote ya ugomvi usitoke nje usithubutu

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app

Ziraili wa gizani
 
Kuna mtu anajiita waziri wa home matters anajidadavua kuwa crimes zimedhibitiwa

Kwani wewe unaelewaje hapo? Hivi wewe Sasa ukiamua kumuua mkeo au mjomba wako, Polisi watakuzuiaje. Na haitamaanisha kuwa hawajadhibiti matukio makubwa ya kupangwa na kushirikishwa mitandao au vikundi.
 
Wasije kuwa walimbaka kwa zamu kwa kumziba pumzi asipige makelele jambo lililopekekea kifo chake.

Swali je kwa nini wamvue nguo? yawezekana visasi vya kimahusiano .
 
Kwani wewe unaelewaje hapo? Hivi wewe Sasa ukiamua kumuua mkeo au mjomba wako, Polisi watakuzuiaje. Na haitamaanisha kuwa hawajadhibiti matukio makubwa ya kupangwa na kushirikishwa mitandao au vikundi.
Hoja ni vibaka si ugomvi wa ndani ya nyumba
 
Huyu Mwenyekiti amejuaje kulikuwa na tafrani kutokea kwenye vichochoro?
 
Back
Top Bottom