Selemani Sele
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 319
- 711
Nyamwi....Mwinya...Nyamila..ASante kwa taarifa.
Huyo aliyetoa madai hayo ndiye anayepaswa kuthibitisha Madai yake kwamba Imene ni Mwanaume na wala siyo Mwanamke.Leo katika olympics mwanamke Angela Carini amelia baada ya kupigwa K.O ndani ya sekunde 46 na mwanaume anayejitambulisha kama mwanamke Imene khelif.
Pichani.
View attachment 3058769
View attachment 3058770View attachment 3058771
Hata hivyo shirikisho la michezo la Algeria limekataa kama Imene ni mwanaume na kwamba sheria ya nchi hairuhusu Transgender Tangia 1966 huku wakitupia picha yaa Imene hfiwa mdogo pichani.
View attachment 3058772
Je nini Tafakari yako juu ya hili jambo Imene mwanamke au mwanaume.
HahahahaNyamwi....Mwinya...Nyamila..
Mzee kwenye michezo ya wanawake Huwa wanaangalia level ya testosterone kuna kiwango ikizidi wanamlimit mhusika kushiriki michezo ya wanawake.Huyo aliyetoa madai hayo ndiye anayepaswa kuthibitisha Madai yake kwamba Imene ni Mwanaume na wala siyo Mwanamke.
"He who alleges must prove."
Hamna loloteLeo katika olympics mwanamke Angela Carini amelia baada ya kupigwa K.O ndani ya sekunde 46 na mwanaume anayejitambulisha kama mwanamke Imene khelif.
Pichani.
View attachment 3058769
View attachment 3058770View attachment 3058771
Hata hivyo shirikisho la michezo la Algeria limekataa kama Imene ni mwanaume na kwamba sheria ya nchi hairuhusu Transgender Tangia 1966 huku wakitupia picha yaa Imene hfiwa mdogo pichani.
View attachment 3058772
Je nini Tafakari yako juu ya hili jambo Imene mwanamke au mwanaume.
Kama anajitambulusha kama mwanamke, mnasimama wapi kukanusha jinsia yake?Leo katika olympics mwanamke Angela Carini amelia baada ya kupigwa K.O ndani ya sekunde 46 na mwanaume anayejitambulisha kama mwanamke Imene khelif.
Pichani.
View attachment 3058769
View attachment 3058770View attachment 3058771
Hata hivyo shirikisho la michezo la Algeria limekataa kama Imene ni mwanaume na kwamba sheria ya nchi hairuhusu Transgender Tangia 1966 huku wakitupia picha yaa Imene hfiwa mdogo pichani.
View attachment 3058772
Je nini Tafakari yako juu ya hili jambo Imene mwanamke au mwanaume.
Wamejaribu kumvua chupi wakaangalia?Kama anajitambulusha kama mwanamke, mnasimama wapi kukanusha jinsia yake?
Mbona sasa haueleweki na umekuwa kigeugeu?? Je, tatizo ni nini, Jinsia au level ya testerone ya huyo Imene?????Mzee kwenye michezo ya wanawake Huwa wanaangalia level ya testosterone kuna kiwango ikizidi wanamlimit mhusika kushiriki michezo ya wanawake.
Sawa ila we ukiona picha hauoniHuyo aliyetoa madai hayo ndiye anayepaswa kuthibitisha Madai yake kwamba Imene ni Mwanaume na wala siyo Mwanamke.
"He who alleges must prove."
Sio mimi ila wanasema ni transgender wale wanaume wanaoidentify as femaleMbona sasa haueleweki na umekuwa kigeugeu?? Je, tatizo ni nini, Jinsia au level ya testerone ya huyo Imene?????
ππππNi vurumai unataka kesi ya human rightsWamejaribu kumvua chupi wakaangalia?
Sasa alivyobuild up is not easy mwanamke awe hivyo huyo dada kala ngumi nzito sanaKama anajitambulusha kama mwanamke, mnasimama wapi kukanusha jinsia yake?
MwinyiNyamwi....Mwinya...Nyamila..
MwanyaHahahaha
Naelewa ila.hiyyo ni zamani ukienda ufaransa wanarecognize gender zote kuna he, kuna she , kuna them/theyMzee kwenye michezo ya wanawake Huwa wanaangalia level ya testosterone kuna kiwango ikizidi wanamlimit mhusika kushiriki michezo ya wanawake.
kwani mpaka tusimame si tunamkalisha tunamkagua tukikuta shipa tunadilinae ktk namna,tukikuta kipochi tunamchumu!Kama anajitambulusha kama mwanamke, mnasimama wapi kukanusha jinsia yake?