Mwanamke alia baada ya kupiganishwa na mwanaume olympics #Paris2024

Mwanamke alia baada ya kupiganishwa na mwanaume olympics #Paris2024

Leo katika olympics mwanamke Angela Carini amelia baada ya kupigwa K.O ndani ya sekunde 46 na mwanaume anayejitambulisha kama mwanamke Imene khelif.
Pichani.
View attachment 3058769
View attachment 3058770View attachment 3058771
Hata hivyo shirikisho la michezo la Algeria limekataa kama Imene ni mwanaume na kwamba sheria ya nchi hairuhusu Transgender Tangia 1966 huku wakitupia picha yaa Imene hfiwa mdogo pichani.
View attachment 3058772

Je nini Tafakari yako juu ya hili jambo Imene mwanamke au mwanaume.
Duuu Kala kisago cha kwenda mpaka akahisi hio ni ngumi ya kidume na bado wanataka haki sawa na wanaume
 
Ndo mambo ya haki sawa,,,,,vichaa wenzao wameamua kuwafata hukohuko kwenye haki sawa
 
Kwani ngumi ya mwanaume ni nzito sana
Mwanaume ni Yente. Miaka ile akina Serena na mdogo wake wanakuja juu kwenye tennis wakasema wanaweza kumshinda mwanaume yoyote anayeshika nafasi ya. 200 kwenda juu.

Wadau wakaandaa shindano na mchizi gani sijui anashika nafasi ya 203. Unaambiwa jamaa alimshinda dada mtu halafu akamshinda na mdogo mtu tena huku anavuta sigara.
 
Hahah
20240801_203532.jpg
 
Nje mada..

Hivi yule Semenya wa South Africa mwisho wake alijulikana ni jinsia gani?
 
Back
Top Bottom