Mwanamke alia baada ya kupiganishwa na mwanaume olympics #Paris2024

Hata kama angekuwa ni mwanaume kweli(mfano), kwani sikuhizi hatuamini katika ile notion yetu?

"Anachokifanya mwanaume, mwanaumke anaweza kukifanya kwa ubora zaidi"

Au hii inazingatiwa kwenye issue laini laini tu.?
 
😂😂😂😂😂 Ukiangakia zile sekunde 46 ni moto kast year mwanamke alipasuliwa jicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…