Mwanamke alia baada ya kupiganishwa na mwanaume olympics #Paris2024

Duuu Kala kisago cha kwenda mpaka akahisi hio ni ngumi ya kidume na bado wanataka haki sawa na wanaume
 
Ndo mambo ya haki sawa,,,,,vichaa wenzao wameamua kuwafata hukohuko kwenye haki sawa
 
Kwani ngumi ya mwanaume ni nzito sana
Mwanaume ni Yente. Miaka ile akina Serena na mdogo wake wanakuja juu kwenye tennis wakasema wanaweza kumshinda mwanaume yoyote anayeshika nafasi ya. 200 kwenda juu.

Wadau wakaandaa shindano na mchizi gani sijui anashika nafasi ya 203. Unaambiwa jamaa alimshinda dada mtu halafu akamshinda na mdogo mtu tena huku anavuta sigara.
 
Nje mada..

Hivi yule Semenya wa South Africa mwisho wake alijulikana ni jinsia gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…