Mwanamke aliye tsyari kwa ndoa anahitajika

Mwanamke aliye tsyari kwa ndoa anahitajika

Kwemdimu

Member
Joined
May 7, 2019
Posts
80
Reaction score
96
Habari wanandugu

Mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 33 natafuta mwanamke kwa ajili ya kujenga familia.

Nahitaji mwenye sifa zifuatazo

Mkristo wa kueleweka
Umri asizidi 30
Elimu kuanzia kidato cha 4
Awe ameajiriwa au kujiajiri
Awe na rangi yake ya asili sio kujichubua
Mrefu wastani
Asiwe mnene
Kabila lolote

Aliye na sifa hizo, tafadhali tuwasiliane
 
Kilalaheri ndugu..wewe mbali na kuwa mwanaume na kuwa na miaka 33 huna sifa ya ziada?
 
Hivi unadhani ndoa ni rahic kiac hicho , hujapimwa oili ?? Milage tunapaswa kuzijua ni ngapi kwanza
Ww unakimbilia tu kutangaza ndoa
Hizo gharama utagharamia wewe??

Kama utagharamia hapo sawa
 
Mkuu upo serious kweli?

Unatafuta mke kwa staili hii?

Yaani mwanamke aliyepo tayari now na aka-meet hivyo vigezo vyako fresh sio?

Tafakari sana hii habari usifanye kosa ndugu yangu

Ndoa sio kizembe kiasi hiki otherwise unatania tu

Fanya vetting huko mtaani mtafute mtu taratibu sana tena kwa uzuri

Maisha mafupi sana ku-deal na stress za ndoa mzee

Kuna wanawake wapo very desperate ukimwambia tu anakuja lakini mnakuwa hamna ile chemistry na hapo tatizo ndo huanzia

Usikurupuke.
 
Back
Top Bottom