MjuviKitambo
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 711
- 811
Hongera sana wewe ni imara sana, mwanaume wa nguvu, kula tano. Na mkubwa wangu alifiwa na mkewe akabaki na mwanae wote waathirika akafanya maamuzi kama yako akapata mjane now ni mwaka wa Saba, huyo mama nampenda sana ana roho nzuri, mchapa kazi na anamheshimu mshua, wanalea watoto wao waliowapata kwenye ndoa zao, i was suprised na mkubwa kusomesha watoto wa woote bila kubagua, familia nzuri ina furaha tele wana afya nzuri, wala usiwaze jembe maisha yasoma kama kawa