Mwanamke aliyeathirika.!

Mwanamke aliyeathirika.!

Hongera sana wewe ni imara sana, mwanaume wa nguvu, kula tano. Na mkubwa wangu alifiwa na mkewe akabaki na mwanae wote waathirika akafanya maamuzi kama yako akapata mjane now ni mwaka wa Saba, huyo mama nampenda sana ana roho nzuri, mchapa kazi na anamheshimu mshua, wanalea watoto wao waliowapata kwenye ndoa zao, i was suprised na mkubwa kusomesha watoto wa woote bila kubagua, familia nzuri ina furaha tele wana afya nzuri, wala usiwaze jembe maisha yasoma kama kawa
 
Nimeogopa baada ya kusoma huu uzi....Mungu atulinde.

Umeogopa nini mkuu.? Haya mambo yapo na inaumiza ukiwa niwewe! Siku hizi kuna watoto wengi mabikira ni waathirika tangu wamezaliwa. Kuwa makini usije jinyonga maana inaonekana ni muoga sana.!
 
Umeogopa nini mkuu.? Haya mambo yapo na inaumiza ukiwa niwewe! Siku hizi kuna watoto wengi mabikira ni waathirika tangu wamezaliwa. Kuwa makini usije jinyonga maana inaonekana ni muoga sana.!

Dah acha tu ndugu yangu yani nimesoma bandiko lako damu yote ikasimama,,but wewe ni mtu jasiri sana na mwema...Mungu aendelee kukulinda na kukupa nguvu.
 
Dah acha tu ndugu yangu yani nimesoma bandiko lako damu yote ikasimama,,but wewe ni mtu jasiri sana na mwema...Mungu aendelee kukulinda na kukupa nguvu.

Asante mkuu. Unajua nisingeshindwa kutafuta msichana/mwanamke yeyote na kufanya naye ngono bila yeye kujua na kuoana naye! Najaribu kufikiria vile mimi niliumia ndivyo na mwingine ataumia kwa kweli naingiwa na roho ya huruma. Aafu pia kuishi na mtu asiyejua nini kinaendelea ni ishu nyingine. Anaweza kuanza kutaka watoto nao wakaambukizwa. Ni huruma sana kuwaona watoto waloathirika wanavyoteseka pasipo kosa lao.
 
Mimi ni mwanaume nahitaji mwanamke ambaye ni HIV+ ili tuweze kuishi pamoja kwa muda ambao Mungu atatujalia. Sifa zake: Awe ameajiriwa au kujiajiri, mweupe/maji ya kunde, mrefu, miaka<30,mkristo(kupunguza mivutano ya kifamilia), muelewa, beautiful, asiwe pasua kichwa(tutaongezeana stress),mpenda maendeleo na asiwe kwenye stage za mwisho. Kuhusu mimi: mweupe,mrefu, sio mnene wala sio mwembamba, mkristo, muajiriwa, elimu ya chuo na ninajitegemea. Note: nahitaji mwanamke na sio msichana, kama upo au unamfahamu mtu unaweza kumcônnect naye. Pia yeyote aliye tayari kuwa nami unakaribishwa, nitakulinda wakati wote. Asanteni!

Hongera sana kwa ujasiri, ila hujasema umri wako na unapatikana wapi?
 
hongera sana mkuu!! Ukweli ni huu-wengi tuishi kwa wasiwasi,hata kupima tu tunaogopa achilia mbali kujiweka hadharani,na wengi wa wanyanyapaa ni waathirika pia,na pale mnyanyapaa anapojua kuwa ni mmojawapo huwa anapata hofu iliyochanganyika na aibu,,matokeo yake ni kujihukumu mwenyewe,kuelewa,kujielewa na kujikubali ni tiba muhimu ya awali,well done mkuu,tumaini lipo,ishi kwa amani.
 
Pole sana kaka mimi ndo kwanza najitokeza katika jf. Kabla ya yote naomba email yako tuwasiliane nitakulinda.
 
Kwanza kabisa nakupa hongera kwa ujasiri wako kwenye hili jambo ni wachache wanaweza kujitangaza.

Pili umenifurahisha kuwa umeona mbali kwani wengi wao wanadhani once your HIV positive your life has ended.

Mimi sinamtu ambae naweza kukuconnect nae bali kwa ujasiri wako natamani kukujua na uwe rafiki yangu ninaeweza kuomba ushauri na kukupa ushauri.

Ukini PM sijui ndo nini maana me ni mashikolo mageni in here

Your courageous heart will take you places. Big up bro!
 
hujui pm ni nini?naona u mgeni,ila mtu akikupm utaifahamu tu maana haitoki hadi ufungue.
 
Daah... Kua uyaone kumbe wa design yako siku hizi mkila ile "hamira" mnakua wanene?
Lakini all in all heko you got guts na ni wazo zuri sana kuja jukwaani hapa na kujitangaza na kumtafuta wa aina yako ili usiondoke na kichwa cha mtu
Aminia..no stigmatism,no further mdudu infection
An HIV free generation it begins with you...!!

Wakati mwingine ni bora mtu akakaa kimya akificha ujinga wake.
 
Back
Top Bottom