MjuviKitambo
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 711
- 811
Nimeogopa baada ya kusoma huu uzi....Mungu atulinde.
Umeogopa nini mkuu.? Haya mambo yapo na inaumiza ukiwa niwewe! Siku hizi kuna watoto wengi mabikira ni waathirika tangu wamezaliwa. Kuwa makini usije jinyonga maana inaonekana ni muoga sana.!
Dah acha tu ndugu yangu yani nimesoma bandiko lako damu yote ikasimama,,but wewe ni mtu jasiri sana na mwema...Mungu aendelee kukulinda na kukupa nguvu.
Mimi ni mwanaume nahitaji mwanamke ambaye ni HIV+ ili tuweze kuishi pamoja kwa muda ambao Mungu atatujalia. Sifa zake: Awe ameajiriwa au kujiajiri, mweupe/maji ya kunde, mrefu, miaka<30,mkristo(kupunguza mivutano ya kifamilia), muelewa, beautiful, asiwe pasua kichwa(tutaongezeana stress),mpenda maendeleo na asiwe kwenye stage za mwisho. Kuhusu mimi: mweupe,mrefu, sio mnene wala sio mwembamba, mkristo, muajiriwa, elimu ya chuo na ninajitegemea. Note: nahitaji mwanamke na sio msichana, kama upo au unamfahamu mtu unaweza kumcônnect naye. Pia yeyote aliye tayari kuwa nami unakaribishwa, nitakulinda wakati wote. Asanteni!
Hongera sana kwa ujasiri, ila hujasema umri wako na unapatikana wapi?
Niko 29, nnapopatikana tutaelezana kwenye pm
Sawa mkuu... Nitakuunganisha na mdada flan!
Pole sana kaka mimi ndo kwanza najitokeza katika jf. Kabla ya yote naomba email yako tuwasiliane nitakulinda.
hujui pm ni nini?naona u mgeni,ila mtu akikupm utaifahamu tu maana haitoki hadi ufungue.Kwanza kabisa nakupa hongera kwa ujasiri wako kwenye hili jambo ni wachache wanaweza kujitangaza.
Pili umenifurahisha kuwa umeona mbali kwani wengi wao wanadhani once your HIV positive your life has ended.
Mimi sinamtu ambae naweza kukuconnect nae bali kwa ujasiri wako natamani kukujua na uwe rafiki yangu ninaeweza kuomba ushauri na kukupa ushauri.
Ukini PM sijui ndo nini maana me ni mashikolo mageni in here
Your courageous heart will take you places. Big up bro!
hujui pm ni nini?naona u mgeni,ila mtu akikupm utaifahamu tu maana haitoki hadi ufungue.
Daah... Kua uyaone kumbe wa design yako siku hizi mkila ile "hamira" mnakua wanene?
Lakini all in all heko you got guts na ni wazo zuri sana kuja jukwaani hapa na kujitangaza na kumtafuta wa aina yako ili usiondoke na kichwa cha mtu
Aminia..no stigmatism,no further mdudu infection
An HIV free generation it begins with you...!!