Mwanamke aliyeathirika.!

Mwanamke aliyeathirika.!

Glivec

Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
91
Reaction score
69
Mimi ni mwanaume nahitaji mwanamke ambaye ni HIV+ ili tuweze kuishi pamoja kwa muda ambao Mungu atatujalia. Sifa zake: Awe ameajiriwa au kujiajiri, mweupe/maji ya kunde, mrefu, miaka<30,mkristo(kupunguza mivutano ya kifamilia), muelewa, beautiful, asiwe pasua kichwa(tutaongezeana stress),mpenda maendeleo na asiwe kwenye stage za mwisho. Kuhusu mimi: mweupe,mrefu, sio mnene wala sio mwembamba, mkristo, muajiriwa, elimu ya chuo na ninajitegemea. Note: nahitaji mwanamke na sio msichana, kama upo au unamfahamu mtu unaweza kumcônnect naye. Pia yeyote aliye tayari kuwa nami unakaribishwa, nitakulinda wakati wote. Asanteni!
 
Daah... Kua uyaone kumbe wa design yako siku hizi mkila ile "hamira" mnakua wanene?
Lakini all in all heko you got guts na ni wazo zuri sana kuja jukwaani hapa na kujitangaza na kumtafuta wa aina yako ili usiondoke na kichwa cha mtu
Aminia..no stigmatism,no further mdudu infection
An HIV free generation it begins with you...!!
 
bila shaka pm zimeanza kumiminika. kila la heri
 
Mkuu mwenye 40 atakufaa?? Yupo namfahamu yupo fresh ila ana mtoto 1.
 
Daah... Kua uyaone kumbe wa design yako siku hizi mkila ile "hamira" mnakua wanene?
Lakini all in all heko you got guts na ni wazo zuri sana kuja jukwaani hapa na kujitangaza na kumtafuta wa aina yako ili usiondoke na kichwa cha mtu
Aminia..no stigmatism,no further mdudu infection
An HIV free generation it begins with you...!!

We want people like him, who dare to talk and walk big up mkuu, ila jamani jukwa letu si lipo Salama ama??
 
All the best.
Nimependa ulivyo muwazi
 
Daah... Kua uyaone kumbe wa design yako siku hizi mkila ile "hamira" mnakua wanene?
Lakini all in all heko you got guts na ni wazo zuri sana kuja jukwaani hapa na kujitangaza na kumtafuta wa aina yako ili usiondoke na kichwa cha mtu
Aminia..no stigmatism,no further mdudu infection
An HIV free generation it begins with you...!!

Mkuu nipo kama nilivyo, am still healthy monitoring my cd4. Sijaanza kutumia hizo unaita we hamira. Mwanamke yeyote akiniona na haya ninayoyasema hawezi kukubali. I decided not to infect others coz its painful as i felt at first point.
 
mkuu hongera sana kwa kua muwazi, jamii inahitaji watu kama nyie wenye kusimama katika kweli..nina hakika utafanikiwa kupata mwenzi wa aina yako
 
Hongera mkuu mungu akujalie moyo huo huo, ni wachache sana wenye moyo wa ukweli na jasiri kama wew..
 
Pole na hongera kwa ujasili,,, kuna mtu namfaham but ana 27.
 
Big up mkuu!
Mungu akupe unachohitaji....
 
Wale wa mama salma unawapata?

Nilisikiaga tu kuwa wapo lakini sina uhakika kama ni kweli au uongo! Mtu aliye na afya yake nzuri huwezi kujua kama ana shida hiyo kirahisi. Mi mwenyewe hapa nilipo najitahidi sana kuwakwepa wanawake mpaka kero. Wadada wengi wanatafuta chance ya kuwa nami na mi sipendi kuwaambia kwa nini nawakwepa. Mambo mengine siyo kila mtu anatakiwa kujua.
 
Daah... Kua uyaone kumbe wa design yako siku hizi mkila ile "hamira" mnakua wanene?
Lakini all in all heko you got guts na ni wazo zuri sana kuja jukwaani hapa na kujitangaza na kumtafuta wa aina yako ili usiondoke na kichwa cha mtu
Aminia..no stigmatism,no further mdudu infection
An HIV free generation it begins with you...!!
Hamira??!si neno zuri,hujaumbika bado wewe
 
mkuu hongera sana kwa kua muwazi, jamii inahitaji watu kama nyie wenye kusimama katika kweli..nina hakika utafanikiwa kupata mwenzi wa aina yako

Asante mkuu. Suala hili lingepigiwa vita ya unyanyapaa tusingefika hapa tulipo.
 
Back
Top Bottom