Mwanamke aliyehukumiwa miaka 15 kwa kubaka asema Jaji hakuelewa ushahidi

Kuna makosa mengi against molarity i cannot mention them all. It depends with the circumstances of the case
 
Kwani siku hizi kwenye mahusiano lazima uonyeshe cheti cha kuzaliwa?
Kama huyo dogo alidanganya umri je?
 
Kwa sheria za Tanzania mwanamke hawezi kubaka.

Ila anaweza kuhukumiwa kama mshirika mfano mwanaume awe anammbaka mwanamke yeye akawa mlangoni anamuangalizia ulinzi mwanaume au kamshikilia yule mwanamke n.k...

Sijajua kuhusu kenya kama ilivuokuwa kwenye tukio hilo japokuwa sheria zetu hazijatofautiana sana...
 
Maana mitandaoni naona sehemu nyingi wanaandika kwamba anayebaka ni mwanaume ila anayebakwa anaweza akawa ni mwanaume au mwanamke... Sababu wamedefine kitendo cha kubaka kama penetration ya penis in vagina, anal or mouth without a consent ya huyo muhusika...

Pia nimekutana na makala moja jamaa alikuwa anaelezea jinsi hata magazeti makubwa duniani yanavoelezea ina case kama mwanamke akimforce mwanaume kusex naye... Simply wanaelezea tu kwamba a woman forced a man to have sex with her.... but hawaelezei kama amerape....
 
Ki ufupi, kenya na Tz tunatumia received laws of which, most of sections zinafanana but kuna slight differences due to some amendments zinazofanywa na nchi husika
 
Huu uzi mzuri watu wanabishana kwa vipengele vya sheria na sio bla bla bla tu
Mnaobishana hapa mnabishana ujinga,haya ni mambo ya kenya,nyinyi mnaleta mambo ya bla bla bla za Tz
 
Nimejaribu kuchek penal code ya kenya kuna baadhi ya sections zimefutwa, unfortunately sijaiona section ya rape wanaongeleaje kwao. But I'll research on that nijue km kwao a woman can rape
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…