Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Huyu mbakaji wa kike bila shaka atakuwa ni Miss Natafuta kwa sababu nyege hazina adabu![emoji38][emoji38][emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mimi na sheria tofauti mkuu labda hadi siku nikifika mahakamani
Ni kosa but si kila kosa la namna km hyo ni rapeKwanza kitendo tu cha kushiriki ngono na mtu ambaye sheria inamdefine kama minor tayari ni kosa kisheria...
Rafiki kuwa makini usije kumbaka Tutor B kwa sababu 15 itakuhusu![emoji38][emoji38][emoji38]Yeye mbakaji (mwanamke) ana miaka mingapi?
ni kosa gani sasa?Ni kosa but si kila kosa la namna km hyo ni rape
Kwani siku hizi kwenye mahusiano lazima uonyeshe cheti cha kuzaliwa?Wewe ndio huelewi maana ya kubaka.
Tafsiri ya kwanza; Mtu yeyote anayetamkwa kua chini ya umri wa miaka 18(kwa Tanzania) ukifanya nae ngono iwe kakubali au umemlazimisha kesi yake ni kwamba umebaka maana chini ya 18 years ni mtoto ambaye kisheria hana maamuzi .
Tafsiri ya pili kubaka ni kutumia nguvu kufanya ngono na mtu iwe ni mtoto au mtu mzima, kama umefanya nae ngono kwa kumlazimisha simply umebaka, hata mkeo ukimlazimisha tafsiri ni kwamba umebaka
LiveHuu uzi mzuri watu wanabishana kwa vipengele vya sheria na sio bla bla bla tu
Mnaobishana hapa mnabishana ujinga,haya ni mambo ya kenya,nyinyi mnaleta mambo ya bla bla bla za TzHuu uzi mzuri watu wanabishana kwa vipengele vya sheria na sio bla bla bla tu