Mwanamke aliyehukumiwa miaka 15 kwa kubaka asema Jaji hakuelewa ushahidi

Mwanamke aliyehukumiwa miaka 15 kwa kubaka asema Jaji hakuelewa ushahidi

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
1.jpg

Judith Khayosa Wandera aliyehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 15 jela kwa kosa la kumbaka kijana wa kiume wa miaka 16 amepinga hukumu hiyo

- Amemlaumu Jaji wa kesi hiyo kuwa hakuuelewa ushahidi wa kesi hiyo. Ameeleza kuwa hakuna na hatia katika kesi hiyo lakini bado amehukumiwa

- Mwanamke huyo amekata rufaa kwa kueleza kuwa walikuwa na mahusiano na kijana huyo na ni dereva wa bodaboda

======

Judith Khayosa Wandera, the woman jailed for 15 years for defiling a 16-year-old boy, has accused the trial judge of misunderstanding evidence.

Ms Wandera on Wednesday appealed against the entire judgement by principal magistrate Joan Wambilianga, saying she erred in law and fact in convicting her.

She was found guilty of defilement and intentionally performing an indecent act with a minor. She said an "innocent affair" earned her many years in jail.

Ms Wandera filed the appeal at the High Court in Kisumu through lawyer Bruce Odeny, who said the sentence was not backed by sufficient proof and that "irrelevant" factors were considered.

“Ms Wambilianga disregarded the statutory defence mounted by the appellant,” state the court records seen by the Nation.

“The learned magistrate generally misconstrued the law on un-pleaded issues and on evidence emanating in the course of trial."

The accused wants the appeal allowed and the May 23 conviction and sentence set aside, and substituted with an acquittal.

Social media users had varied reactions to the judgement. Questions included why the minor was not punished, whether he qualifies as one since he is a boda-boda rider and if this is a case of defilement if they had been in a relationship.

Others called for a review of the age group for adulthood while some said the court should have been lenient since Ms Wandera admitted to having the affair.

The court said there was proof that the boy’s parents warned Ms Wandera. Judge Fred Ochieng said the case will be mentioned today.

Source: Daily Nation
 
Huyo jaji arudi shule tu, tangu lini mwanamke akabaka? Ama haelewi definition ya rape?
Wewe ndio huelewi maana ya kubaka.

Tafsiri ya kwanza; Mtu yeyote anayetamkwa kua chini ya umri wa miaka 18(kwa Tanzania) ukifanya nae ngono iwe kakubali au umemlazimisha kesi yake ni kwamba umebaka maana chini ya 18 years ni mtoto ambaye kisheria hana maamuzi .

Tafsiri ya pili kubaka ni kutumia nguvu kufanya ngono na mtu iwe ni mtoto au mtu mzima, kama umefanya nae ngono kwa kumlazimisha simply umebaka, hata mkeo ukimlazimisha tafsiri ni kwamba umebaka
 
Wewe ndio huelewi maana ya kubaka.

Tafsiri ya kwanza; Mtu yeyote anayetamkwa kua chini ya umri wa miaka 18(kwa Tanzania) ukifanya nae ngomo iwe kakubali au umemlazimisha kesi yake ni kwamba umebaka maana chini ya 18 years ni mtoto ambaye kisheria hana maamuzi .

Tafsiri ya pili kubaka ni kutumia nguvu kufanya ngono na mtu iwe ni mtoto au mtu mzima, kama umefanya nae ngono kwa kumlazimisha simply umebaka, hata mkeo ukimlazimisha tafsiri ni kwamba umebaka
Soma section 130 ya penal code utaelewa namaanisha nini
 
Wewe ndio huelewi maana ya kubaka.

Tafsiri ya kwanza; Mtu yeyote anayetamkwa kua chini ya umri wa miaka 18(kwa Tanzania) ukifanya nae ngomo iwe kakubali au umemlazimisha kesi yake ni kwamba umebaka maana chini ya 18 years ni mtoto ambaye kisheria hana maamuzi .

Tafsiri ya pili kubaka ni kutumia nguvu kufanya ngono na mtu iwe ni mtoto au mtu mzima, kama umefanya nae ngono kwa kumlazimisha simply umebaka, hata mkeo ukimlazimisha tafsiri ni kwamba umebaka
Sheria ipi inasema hivyo?
 
Haya wazee mshapewa sehemu ya kudesa penal code cap 16 section 130, tunasubiri mrejesho na sisi tupate elimu hapa. Mimi copy ya katiba niliyonayo ni ile rasimu pendekezwa ya jaji warioba najua hapa haihusiki.
 
Very true mkuu na sio kuandika gazeti kumbe mbwembwe tu hakuna facts.
Nimejituliza zangi hapa nasubiri walioingia chimbo kuja na nondo hapa niibirudishe na kuupa chakula stahiki ubongo wangu
 
Hiyo yako tusubiri mpaka 2050 maana kama mwandishi mwenyewe wa hiyo rasimu watu walimpiga
Haya wazee mshapewa sehemu ya kudesa penal code cap 16 section 130, tunasubiri mrejesho na sisi tupate elimu hapa. Mimi copy ya katiba niliyonayo ni ile rasimu pendekezwa ya jaji warioba najua hapa haihusiki.
 
Ukisoma hiyo section 130 na 131 unaona sheria imemuelezea tu mwanaume kumbaka mwanamke na siyo vice versa....

Lakini si unajua kwamba hukumu mahakamani zinaangalia reference nyingi? kuna vitu kama presedence, common laws e.t.c. you never know waliangalia nini hadi kumhukumu huyo mwanamke...

Anyway after all hiyo kitu imehappen Kenya, so hatujui sheria yao inazungumzia nini kuhusiana na hiyo case....
 
Back
Top Bottom