Mwanamke aliyehukumiwa miaka 15 kwa kubaka asema Jaji hakuelewa ushahidi

Mwanamke aliyehukumiwa miaka 15 kwa kubaka asema Jaji hakuelewa ushahidi

Mahakama haizingatii mlivyodanganyana hadi kufikia hapo, wao wanaangalia mambo ya kisayansi, kwamba huyo dogo ni chini ya umri, tosha.
Nimewahi kumgegeda demu wa 17 kitambo, mwili wake ungedhani ana umri wa miaka 30, yaani niliogopa sana kuja kugundua ni chini ya umri na ningefungwa jela.

😂😂😂😂😂😂😂
 
Huyo jaji arudi shule tu, tangu lini mwanamke akabaka? Ama haelewi definition ya rape?
Kubaka ni sawa na sex tu ila je alikubali? Kama unavoona wanaume wanavofosi kwa girl ndo nae alichofanya kalazimisha tendo wakati mwanaume hataki,,,
 
[emoji3] ndugu umenipiga kamba ukioa ni halali kula cha mkeo bhn.. Ukiona mwanamk anasema kabakwa ujue ni mzembe katika ndoa [emoji4]
Wewe ndio huelewi maana ya kubaka.

Tafsiri ya kwanza; Mtu yeyote anayetamkwa kua chini ya umri wa miaka 18(kwa Tanzania) ukifanya nae ngono iwe kakubali au umemlazimisha kesi yake ni kwamba umebaka maana chini ya 18 years ni mtoto ambaye kisheria hana maamuzi .

Tafsiri ya pili kubaka ni kutumia nguvu kufanya ngono na mtu iwe ni mtoto au mtu mzima, kama umefanya nae ngono kwa kumlazimisha simply umebaka, hata mkeo ukimlazimisha tafsiri ni kwamba umebaka
 
Aliebakwa hana akili ...mwanaume mzima unabakwa!!! Na wamchunguze kama alipiga Hata bao moja ni mwizi mkubwa huyo
 
Huyo jaji arudi shule tu, tangu lini mwanamke akabaka? Ama haelewi definition ya rape?
Leta tafsiri yako tukukosoe. Ubakaji unaweza kufanywa na jinsia zote. Ubakaji upo hata ndani ya ndoa. Wewe unatumia tafsiri gani?
 
Soma section 130 ya penal code utaelewa namaanisha nini
Section 130 of the Penal Code was repealed and replaced by the provisions of Act No. 4 of 1998 ( Sexual Offences Special Provisions Act, 1998.
 
Namuonea wivu huyo dogo,dah! Wangeacha tu ajipakulie mdada wake
 
Back
Top Bottom