Mwanamke aliyewahi kuwa mbunge, inakuwaje tena anataka kurejea bungeni kwa kiti maalum cha wanawake?

Mwanamke aliyewahi kuwa mbunge, inakuwaje tena anataka kurejea bungeni kwa kiti maalum cha wanawake?

1. Ubunge ulitakiwa maximum three terms.
2. Ubunge wa viti maalumu ni unyonyaji.
3. Uwaziri uwekewe mfumo mzuri wa kupatikana, sio kuteuana huenda kwa namna za kujuana

Kimsingi mambo mengi nchi hii yanahitaji reforms.
Ubunge unabidi kuwa 10 yrs
Udiwani 15 yrs
Uenyekiti wa mtaa 20 yrs
Ubalozi wa Nyumba kumi 25 yrs
 
Huenda nchi hii kuna utaahira wa kiwango cha juu kuwahi kutokea, kuanzia kwa wagombea mpaka kwa viongozi wanaopitisha wagombea. Hilo chaka la viti maalum ni mfano hai. Kama hujui tu, zaidi ya nusu ya wabunge wa viti maalum unao waona bungeni basi tambua tu, wanawake wale waliwahi kuwa wabunge hapo kabla.

Yaani, mwanamke aliyewahi kuwa mbunge (ama wa kuchaguliwa, kuteuliwa na rais au viti maalum) unamuona tena akipambana kurejea bungeni kwa kiti maalum!

Nitaweka mifano michache hapa ya wanasiasa ambao walishawahi kuwa wabunge lakini baadaye wakarejea au wakataka kurejea bungeni kwa ubunge wa viti maalum.

1. Halima Mdee
2. Ritha Mlaki
3. Esther Bulaya
4. Dr. Asharose Migiro
5. Esther Matiko
6. Balozi Mula Mula
7. Kaboyeka
8. Angela Kairuki
Badala hela zikaanzishe miradi kwa vijana wasio na ajiri,wanalipwa watu wasiokuwa na faida,vijana watajua wenyewe
 
Mpaka Sasa sijawahi kujua Kwanini mbunge plus posho zake na mshaara milio 19 kwa kipi Mbunge anachofanyiwa cha maana kuzidi kwenye nchi Maskini yenye deni Trillion 107 mbunge kwa kitu gani special mpaka anapata million 19 huu ni UPUMBAVU Na Tanzania haiwezi kuendelea kamwe huo ndo ukweli Same tu hamna gali ya Zima moto watu wanakufa kama kuku
 
Nchi ina usengerema mwing hii. Kwanza hivyo viti maalum vifutwe tuna poteza pesa nyingi na wanachoenda kufanya bungeni ni uchawa na kuchamana na taarabu
 
Viti maalumu vinabidi kufutwa ni ujinga kuibebesha Serikali mzigo .

Lengo la kuwepo kwa viti maalumu lilikuwa ni kuwapa wanawake nafasi ya kiungozi kipindi ambacho walikuwa hawapewi priority .

Sasa Leo hii viti maalumu Vya nini tena ikiwa wanawake wanapewa Equal chance.
Sasa huko mbeleni inakuaje na ukiangalia Population ya wanawake inzawazidi Wanaume
Na bado wanazidi kuwapa wanawake nafas ya uongoz
Kinachoenda kutokea watawala ambao ni wanaume kupungua

At the end mpango wa Shetani ni kufanya Wanawake watumiwe kuwatala na wanaume kwenye majira ya siku za mwisho wa Dunia
 
Dawa ya mazingaombwe yote haya ni.ile katiba pendekezwa inayotokana na.rasimu ya warioba.

Imeeleza kupunguza idadi ya.wabunge mpaka kufikikia 156 kila jimbo mbunge mmoja.mwanaume mwingine mwanamke na watapatikana kwa kura halali sio za mchongo kama ilivyo sasa.
 
Inauma sana na hao hao wanatumia pesa vibaya
Kijana anahangaika apate mtaji na
Huku kuna watu wanatumia vibaya pesa
Badala hela zikaanzishe miradi kwa vijana wasio na ajiri,wanalipwa watu wasiokuwa na faida,vijana watajua wenyewe
 
Mpaka Sasa sijawahi kujua Kwanini mbunge plus posho zake na mshaara milio 19 kwa kipi Mbunge anachofanyiwa cha maana kuzidi kwenye nchi Maskini yenye deni Trillion 107 mbunge kwa kitu gani special mpaka anapata million 19 huu ni UPUMBAVU Na Tanzania haiwezi kuendelea kamwe huo ndo ukweli Same tu hamna gali ya Zima moto watu wanakufa kama kuku
Tuombe Mungu ajitokeze kiongoz wa kubadilisha mfumo wa Uongoz
 
Wanavunja Katiba?
Utakuwa umeelewa lakini unaleta ubishi tu. Hata common sense huoni wewe unahoji kama katiba ya KiCCM inaruhusu hayo

Waza tu, nchi yenye watu zaidi ya milioni 60, miongoni mwao kuna mamilioni ya wasomi wasiokuwa na ajira, halafu maisha yao yanategemea hatma ya bunge lenye theluthi moja ya wajumbe fulani wale wale tu wanaorudia rudia kuingia humo kila baada ya miaka tano kwa sifa ya kukaguliwa maumbile yao kama ni jinsia ya kike!
 
Utakuwa umeelewa lakini unaleta ubishi tu. Hata common sense huoni wewe umahoji kama katiba ya KiCCM inaruhusu hayo

Waza tu, nchi yenye watu zaidi ya milioni 60, miongoni mwao **** mamilioni ya wasomi wasiokuwa na ajira, halafu maisha yao yanategemea hatma ya bunge lenye theluthi moja ya wajumbe fulani wale wale tu wanaorudia rudia kuingia humo kila baada ya miaka tano kwa sifa ya kukaguliwa maumbile yao kama ni jinsia ya kike!
Jibu swali dogo; wamevunja Katiba?
 
Njaa baba Njaa, watu wakipiga hesabu moja haikai. Alishazoea kula Raha Sasa anajiona Bado nguvu zipo na si unajua sisi ni watu wa kupenda kutumia kuliko kuwekeza. Mtaani Hali mbaya.
 
Back
Top Bottom