Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Mwanamke aliyezalishwa na Ney Wa Mitego kisha kutelekezwa ambaye ni maarufu kwa jina la Sister Fei amlillia Diamond Platnumz na jopo zima la Clouds media akiomba apewe msaada wa pesa ili akaendeleze kipaji chake cha muziki
Fei amedai kuwa hali ya maisha ni ngumu sana kwa sasa kiasi kwamba mpaka hela ya kula anakosa na watoto wanamtegemea na hana shughuli yoyote ambayo inamuingizia kipato hivyo amemuomba Diamond amsaidie pesa ili aingie studio atengeneze ngoma ili aweze kuwalisha watoto wake ,amedai kuwa yeye hawezi kuuza mwili wake kama wanawake wengine wanavyofanya ingawaje anashida sana .
Hata hivyo mashabiki walimponda sana huku wengine wakimkejeli na kumwambia bora aombe pesa ya mtaji wa kupika vitumbua na chapati muziki hawezi anajiangaisha tu