Mwanamke aliyezalishwa na Ney wa Mitego kisha kutelekezwa amlilia Diamond Platnumz

Mwanamke aliyezalishwa na Ney wa Mitego kisha kutelekezwa amlilia Diamond Platnumz

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Mwanamke aliyezalishwa na Ney Wa Mitego kisha kutelekezwa ambaye ni maarufu kwa jina la Sister Fei amlillia Diamond Platnumz na jopo zima la Clouds media akiomba apewe msaada wa pesa ili akaendeleze kipaji chake cha muziki

Fei amedai kuwa hali ya maisha ni ngumu sana kwa sasa kiasi kwamba mpaka hela ya kula anakosa na watoto wanamtegemea na hana shughuli yoyote ambayo inamuingizia kipato hivyo amemuomba Diamond amsaidie pesa ili aingie studio atengeneze ngoma ili aweze kuwalisha watoto wake ,amedai kuwa yeye hawezi kuuza mwili wake kama wanawake wengine wanavyofanya ingawaje anashida sana .


Hata hivyo mashabiki walimponda sana huku wengine wakimkejeli na kumwambia bora aombe pesa ya mtaji wa kupika vitumbua na chapati muziki hawezi anajiangaisha tu








Screenshot_2017-07-11-22-55-50_1.jpg
 
Watu wa Ajabu sanaa ila me nna adabu sanaa.. Mabeste hapo nilkusoma mwana.. Wasanii wanaroga sana
@yougkiller
 
Kwani ney hatoi matunzo ya mtoto? Aende ustawi wa jamii. Atapewa msaada wa kuwafanya baba wawe responsible kwenye matunzo ya mtoto au watoto
 
Alipokuwa anafanya ngono zembe domo alikuwepo?

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
huyu dada naye sijui anamtindio wa ubongo! anapenda sana kujiliza insta...
kila mtu anashida zake bwana sasa kila aliye na matatizo angejirecod na kupost insta pangekalika kweli?
kwanza hivi unaanzaje kulia huku unajirecod?
 
Hawa wasichana wa siku hizi wakojeeee? Huna mikono? Ama ndio wale zero brains. Mtoto mmoja unashindwaje kumlea? Acheni kujiabisha.

Sent from my E5306 using JamiiForums mobile app
 
Embu na yeye ajielewe kama blaza ney atoi matunzo si bora aende ustawi wa jamii kuliko kujiliza ovyo kwe mitandao.mamaeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Sent from my HUAWEI G730-T00 using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo maana kila Siku nasema kuzaa na mwanaume ambye hana future na wewe ni shida, au mwanaume ambye bado hajakuoa
 
Back
Top Bottom