Mwanamke ambae hutumii kilevi chochote,nakusalimia

Nyie wenye makelele mengi mbele za watu, mkiwa ndani ni sifuri kabisa. Ni sawa na kumpenda mnenguaji akiwa jukwaani, ukifikiri akiwa ndani atanengua vile vile.​
Kwani tuko mbele za watu si tunatumia simu au😹🙌🏾
 
Sasa weekend kama hii huwa wanafanya nini? Au ndo wanakuwa kwenye mazoezi ya kwaya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…