VINICIOUS JR
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 208
- 518
Siyo kosa lake that zone is different from all others you may know, ndilo eneo pekee lililoshindikana enzi na enzi, huwezi kulicontrol utakavyoWasalam wakuu.
Bila kupoteza muda twende kwenye mada, wanawake hivi kwanini husichague mtu mmoja especially baba wa mtoto ndo awe anakuja home na sio kila mwanaume unamleta kwako kisa unajitegemea hailet picha nzuri.
Kama wewe ni malaya basi jitahid hao wengine mkutane huko nyumba za wageni sio kila mtu unamleta kwako, maadili, heshima viko wap jamani.
Wanawake jirekebisheni.
Una maana toka B.C mpaka A.D 😊😊😊😊Siyo kosa lake that zone is different from all others you may know, ndilo eneo pekee lililoshindikana enzi na enzi, huwezi kulicontrol utakavyo
Mkuu,Heshima ya mtu ipo ndani yake, hii ya kupandikiza machoni pa watu huwa naona ni unafiki mtupu.
Kwani dhambi ya uzinzi inapungua ukifanya guest na sio nyumbani kwako?Wasalam wakuu.
Bila kupoteza muda twende kwenye mada, wanawake hivi kwanini husichague mtu mmoja especially baba wa mtoto ndo awe anakuja home na sio kila mwanaume unamleta kwako kisa unajitegemea hailet picha nzuri.
Kama wewe ni malaya basi jitahid hao wengine mkutane huko nyumba za wageni sio kila mtu unamleta kwako, maadili, heshima viko wap jamani.
Wanawake jirekebisheni.
Niko poa mkuu sijui wewe, heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka.Mkuu,
Vip Khali upo powaaa..
Even beyondUna maana toka B.C mpaka A.D 😊😊😊😊
😳😳 Ebana eeh, mtu kakatwa HALMASHAURI
kabla hujanyooshea mtu kidole unajua vingapi vinakusonta wewe?Wasalam wakuu.
Bila kupoteza muda twende kwenye mada, wanawake hivi kwanini husichague mtu mmoja especially baba wa mtoto ndo awe anakuja home na sio kila mwanaume unamleta kwako kisa unajitegemea hailet picha nzuri.
Kama wewe ni malaya basi jitahid hao wengine mkutane huko nyumba za wageni sio kila mtu unamleta kwako, maadili, heshima viko wap jamani.
Wanawake jirekebisheni.
Kabisa heshima ya mtu ni yeye mwenyewe.Heshima ya mtu ipo ndani yake, hii ya kupandikiza machoni pa watu huwa naona ni unafiki mtupu.
Mmh kaona aiondoe tu
Ni inaonekana alifumaniwa.😳😳 Ebana eeh, mtu kakatwa HALMASHAURI
Ipo hivyo mkuu, watu wanafake ili majirani wawaone wema kumbe uhalisia wao ni ubaya ubwela.Kabisa heshima ya mtu ni yeye mwenyewe.
Je mwanaume mwenye ghetto lake anaruhusiwa kupeleka wanawake zaidi ya mmoja hapo ghetto kwake?Wasalam wakuu.
Bila kupoteza muda twende kwenye mada, wanawake hivi kwanini husichague mtu mmoja especially baba wa mtoto ndo awe anakuja home na sio kila mwanaume unamleta kwako kisa unajitegemea hailet picha nzuri.
Kama wewe ni malaya basi jitahid hao wengine mkutane huko nyumba za wageni sio kila mtu unamleta kwako, maadili, heshima viko wap jamani.
Wanawake jirekebisheni.
afadhali mwanaume kidogo kuliko mwanamke madume tofaut tofauti yanakuja kukushenyeta kwako.Je mwanaume mwenye ghetto lake anaruhusiwa kupeleka wanawake zaidi ya mmoja hapo ghetto kwake?
Na Kwako pia..Niko poa mkuu sijui wewe, heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka.