Sasa kama ni mapenzi ya kweli Kwanini asichague mmoja akatulia nae ?
Hebu tuambie wewe unazani ni kwa sababu gani ??
Maana sio inapinga michango ya wenzio wanaotoa maoni yao kinyume na mtazamo wako ambao wewe unazani ni sheria na Kwamba kile unachofikiria wewe ndio sahihi kwa asilimia 100 na ku-ignore maoni ya wenzio ambayo yanaweza kuwa na uhalisia wa jambo ktk mada inayojadiliwa.
Ungeweza kuchangia kile unachofikiria wewe kuwa sahihi bila kupinga cha mwenzio.
Tatizo Wwengine hamjui jinsi ya kuchangia majadiliano ya mada,
Mnazani ili uonekane fundo basi upinge kile alichosema mwenzio.
Ungeweza kuongezea ktk kile nilicho changia kuwa pamoja na hayo lakini pia sababu inaweza kuwa ni ………,,,,,;;,;, na ukasema Pengine hizo sababu ulizoandoka zaweza kuwa zenye msisitizo zaidi.
Haya tuambie wewe ulie nguli anajua kila kitu kwa 100%