Mwanamke ambaye ana kazi yake nzuri na elimu inakuwaje unaleta mwanaume zaidi ya mmoja sehemu uliyopanga?

Wasalam wakuu.

Bila kupoteza muda twende kwenye mada, wanawake hivi kwanini husichague mtu mmoja especially baba wa mtoto ndo awe anakuja home na sio kila mwanaume unamleta kwako kisa unajitegemea hailet picha nzuri.

Kama wewe ni malaya basi jitahid hao wengine mkutane huko nyumba za wageni sio kila mtu unamleta kwako, maadili, heshima viko wap jamani.

Wanawake jirekebisheni.
Pole kwa kuzaa na kahaba jitahidi umchukue mwanao
 
Nani alikudanganya kila mwanamke anayerukia wanaume anataka kuhongwa pesa au anataka pesa kwa mwanaume? Tafakari

Sasa kama ni mapenzi ya kweli Kwanini asichague mmoja akatulia nae ?
Hebu tuambie wewe unazani ni kwa sababu gani ??
Maana sio inapinga michango ya wenzio wanaotoa maoni yao kinyume na mtazamo wako ambao wewe unazani ni sheria na Kwamba kile unachofikiria wewe ndio sahihi kwa asilimia 100 na ku-ignore maoni ya wenzio ambayo yanaweza kuwa na uhalisia wa jambo ktk mada inayojadiliwa.

Ungeweza kuchangia kile unachofikiria wewe kuwa sahihi bila kupinga cha mwenzio.
Tatizo Wwengine hamjui jinsi ya kuchangia majadiliano ya mada,
Mnazani ili uonekane fundo basi upinge kile alichosema mwenzio.
Ungeweza kuongezea ktk kile nilicho changia kuwa pamoja na hayo lakini pia sababu inaweza kuwa ni ………,,,,,;;,;, na ukasema Pengine hizo sababu ulizoandoka zaweza kuwa zenye msisitizo zaidi.
Haya tuambie wewe ulie nguli anajua kila kitu kwa 100%
 
Mapenzi ya kweli ndo yakoje? Hakuna raha kama kubadilisha unaofanya nao mapenzi, inaleta ladha muruaaaaaa.
 
Sasa kama ni mapenzi ya kweli Kwanini asichague mmoja akatulia nae ?
Hebu tuambie wewe unazani ni kwa sababu gani ??
Usimchagulie mtu anachotaka. Nani kakwambia anahitaji mapenzi ya kweli? Ikiwa furaha yake ni kubadili ni haki yake mpaka atakapoamua kubadili tena mfumo wake. Wewe komaa na mapenzi ya kweli, ni uchaguzi wako.
Maana sio inapinga michango ya wenzio wanaotoa maoni yao kinyume na mtazamo wako ambao wewe unazani ni sheria na Kwamba kile unachofikiria wewe ndio sahihi kwa asilimia 100 na ku-ignore maoni ya wenzio ambayo yanaweza kuwa na uhalisia wa jambo ktk mada inayojadiliwa.
Sio napinga. Ninachopinga ni watu kuingilia uhuru wa mtu nyumbani kwake kwa mambo yasiyowahusu. Sawa na wewe tukuambie unakunywa sana pombe uache.
Tatizo Wwengine hamjui jinsi ya kuchangia majadiliano ya mada,
Mnazani ili uonekane fundo basi upinge kile alichosema mwenzio.
Ungeweza kuongezea ktk kile nilicho changia kuwa pamoja na hayo lakini pia sababu inaweza kuwa ni ………,
Usilazimishe kila mtu achangie kwa mtazamo wako au kukufurahisha wewe au akili yake iendane na mleta mada
 
Mkuu mimi nina mpangaji wangu nahisi anafanya biashara ya kuuza mwili.
Nimempangisha nyumba ina vyumba 2 vya kulala kimoja masts, sebule jiko na choo cha public, kodi analipa laki3 Kwa mwezi.
Yeye mwenyewe anafanya kazi kasino flani magomeni anaishi na mtoto na msichana wa Kazi.
Sasa anabadili wanaume kama hana akili nzuri majirani wameshanilalamikia kwamba hawamtaki.
Kuna siku nilishinda hapo kwani naendelea kujenga viappartment vingine hapo nilishuhudia mwenyewe wanaume wanavyopishana hapo.
Nimezitafakari hoja za majirani kwamba nimfukuze nimeziona hazina mshiko kwani kodi analipa vizuri.
Kimsingi hayo ni maisha binafsi ya mtu huko ndani wanachofanya ni siri yao.
Mkuu nakushauri acha kufatilia maisha binafsi ya mtu siku hizi hata ndugu hatufatiliani kwenye mambo binafsi.
 
Usimchagulie mtu anachotaka. Nani kakwambia anahitaji mapenzi ya kweli? Ikiwa furaha yake ni kubadili ni haki yake mpaka atakapoamua kubadili tena mfumo wake. Wewe komaa na mapenzi ya kweli, ni uchaguzi wako.

Sio napinga. Ninachopinga ni watu kuingilia uhuru wa mtu nyumbani kwake kwa mambo yasiyowahusu. Sawa na wewe tukuambie unakunywa sana pombe uache.

Usilazimishe kila mtu achangie kwa mtazamo wako au kukufurahisha wewe au akili yake iendane na mleta mada

Okey,
Let you win the conversation.
I can’t argue with a fool.
 
Wasalam wakuu.

Bila kupoteza muda twende kwenye mada, wanawake hivi kwanini husichague mtu mmoja especially baba wa mtoto ndo awe anakuja home na sio kila mwanaume unamleta kwako kisa unajitegemea hailet picha nzuri.

Kama wewe ni malaya basi jitahid hao wengine mkutane huko nyumba za wageni sio kila mtu unamleta kwako, maadili, heshima viko wap jamani.

Wanawake jirekebisheni.
Si kwa Ke tu, hata me.
 
Comrade, achana na hii kitu ya kufuatilia maisha ya watu wengine; hususani hawa dada zetu. Maana hayakuhusu. Utakuja usutwe mchana wa saa saba! Shauri yako.

Angekuwa huyo bi dada ni ndugu yako wa karibu, walau ningekushauri uongee naye ana kwa ana! Na siyo kuja kumlalamikia humu jukwaani.
 
Tumekuwa na taifa la watu wa ajabu sana kila uchao akili zao wamejaza umbeya kuchunguza maisha ya watu wasiowahusu. Kila mtu yupo hapa duniani kwa makusudi yake.
Angekuwa huyo bi dada ni ndugu yako wa karibu, walau ningekushauri uongee naye ana kwa ana! Na siyo kuja kumlalamikia humu jukwaani.
Angekuwa mtu wake wa karibu sawa, anamhusu. Angemfuata amshauri. Lakini hamjui, vipi ikiwa ndio namna ya maisha yake amechagua. Anataka aishi kama yeye anavyoishi. Huu ni umbeya
 
Wasalam wakuu.

Bila kupoteza muda twende kwenye mada, wanawake hivi kwanini husichague mtu mmoja especially baba wa mtoto ndo awe anakuja home na sio kila mwanaume unamleta kwako kisa unajitegemea hailet picha nzuri.

Kama wewe ni malaya basi jitahid hao wengine mkutane huko nyumba za wageni sio kila mtu unamleta kwako, maadili, heshima viko wap jamani.

Wanawake jirekebisheni.
Na wengine wanapigwa kazi chumbani mtoto yupo seblen,
Single mother haijalishi ana kazi akili zao zinawaza kudanga tu Kama huyo aliyeacha mtoto kwa boda
 
Kimsingi hayo ni maisha binafsi ya mtu huko ndani wanachofanya ni siri yao.
Mkuu nakushauri acha kufatilia maisha binafsi ya mtu siku hizi hata ndugu hatufatiliani kwenye mambo binafsi.
Mtu pekee wa kumchunga ni mke wako, na watoto wakiwa chini ya usimamizi wako. Lakini watoto wakishakua na kujitegemea hapo unabaki kuwa mshauri tu.
 
Kwani dhambi ya uzinzi inapungua ukifanya guest na sio nyumbani kwako?
Wacha bidada wajienjoy bwana...akiwa kwake yupo huru jee kama ana enjoy kunyeea mashuka huko guest sii aibu tupu
Umepanga chumba na seble una mtoto na binti wa kazi na bado wanaume unaleta humohumo,
Hiyo tabia ipo kwa single mother wengi tu wanachojua Ni ulevi na umalaya!
 
Wasalam wakuu.

Bila kupoteza muda twende kwenye mada, wanawake hivi kwanini husichague mtu mmoja especially baba wa mtoto ndo awe anakuja home na sio kila mwanaume unamleta kwako kisa unajitegemea hailet picha nzuri.

Kama wewe ni malaya basi jitahid hao wengine mkutane huko nyumba za wageni sio kila mtu unamleta kwako, maadili, heshima viko wap jamani.

Wanawake jirekebisheni.
Honestly hayakuhusu. Wewe si mzazi wake although si mwanamke. Mwanaume kaa na mambo yako
 
Back
Top Bottom