Pole kwa kuzaa na kahaba jitahidi umchukue mwanaoWasalam wakuu.
Bila kupoteza muda twende kwenye mada, wanawake hivi kwanini husichague mtu mmoja especially baba wa mtoto ndo awe anakuja home na sio kila mwanaume unamleta kwako kisa unajitegemea hailet picha nzuri.
Kama wewe ni malaya basi jitahid hao wengine mkutane huko nyumba za wageni sio kila mtu unamleta kwako, maadili, heshima viko wap jamani.
Wanawake jirekebisheni.
Ni kama una chuki zako mbonaMbowe hafai kuendelea kuwa kiongozi
Kwani asipoolewa au akiolewa wewe unapata faida au hasara gani?dude tafuta kazi ufanye acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu.Kwa mwanamke haipendezi kwa tabia hizo anaweza kustuka ana ana age ya 40 hajaolewa
Nani alikudanganya kila mwanamke anayerukia wanaume anataka kuhongwa pesa au anataka pesa kwa mwanaume? Tafakari
Hii nchi tulipata Uhuru toka 1961.
Sasa unataka waishi kwa matakwa yako au yao?
Mapenzi ya kweli ndo yakoje? Hakuna raha kama kubadilisha unaofanya nao mapenzi, inaleta ladha muruaaaaaa.Sasa kama ni mapenzi ya kweli Kwanini asichague mmoja akatulia nae ?
Hebu tuambie wewe unazani ni kwa sababu gani ??
Maana sio inapinga michango ya wenzio wanaotoa maoni yao kinyume na mtazamo wako ambao wewe unazani ni sheria na Kwamba kile unachofikiria wewe ndio sahihi kwa asilimia 100 na ku-ignore maoni ya wenzio ambayo yanaweza kuwa na uhalisia wa jambo ktk mada inayojadiliwa.
Ungeweza kuchangia kile unachofikiria wewe kuwa sahihi bila kupinga cha mwenzio.
Tatizo Wwengine hamjui jinsi ya kuchangia majadiliano ya mada,
Mnazani ili uonekane fundo basi upinge kile alichosema mwenzio.
Ungeweza kuongezea ktk kile nilicho changia kuwa pamoja na hayo lakini pia sababu inaweza kuwa ni ………,,,,,;;,;, na ukasema Pengine hizo sababu ulizoandoka zaweza kuwa zenye msisitizo zaidi.
Haya tuambie wewe ulie nguli anajua kila kitu kwa 100%
Usimchagulie mtu anachotaka. Nani kakwambia anahitaji mapenzi ya kweli? Ikiwa furaha yake ni kubadili ni haki yake mpaka atakapoamua kubadili tena mfumo wake. Wewe komaa na mapenzi ya kweli, ni uchaguzi wako.Sasa kama ni mapenzi ya kweli Kwanini asichague mmoja akatulia nae ?
Hebu tuambie wewe unazani ni kwa sababu gani ??
Sio napinga. Ninachopinga ni watu kuingilia uhuru wa mtu nyumbani kwake kwa mambo yasiyowahusu. Sawa na wewe tukuambie unakunywa sana pombe uache.Maana sio inapinga michango ya wenzio wanaotoa maoni yao kinyume na mtazamo wako ambao wewe unazani ni sheria na Kwamba kile unachofikiria wewe ndio sahihi kwa asilimia 100 na ku-ignore maoni ya wenzio ambayo yanaweza kuwa na uhalisia wa jambo ktk mada inayojadiliwa.
Usilazimishe kila mtu achangie kwa mtazamo wako au kukufurahisha wewe au akili yake iendane na mleta madaTatizo Wwengine hamjui jinsi ya kuchangia majadiliano ya mada,
Mnazani ili uonekane fundo basi upinge kile alichosema mwenzio.
Ungeweza kuongezea ktk kile nilicho changia kuwa pamoja na hayo lakini pia sababu inaweza kuwa ni ………,
Usimchagulie mtu anachotaka. Nani kakwambia anahitaji mapenzi ya kweli? Ikiwa furaha yake ni kubadili ni haki yake mpaka atakapoamua kubadili tena mfumo wake. Wewe komaa na mapenzi ya kweli, ni uchaguzi wako.
Sio napinga. Ninachopinga ni watu kuingilia uhuru wa mtu nyumbani kwake kwa mambo yasiyowahusu. Sawa na wewe tukuambie unakunywa sana pombe uache.
Usilazimishe kila mtu achangie kwa mtazamo wako au kukufurahisha wewe au akili yake iendane na mleta mada
Si kwa Ke tu, hata me.Wasalam wakuu.
Bila kupoteza muda twende kwenye mada, wanawake hivi kwanini husichague mtu mmoja especially baba wa mtoto ndo awe anakuja home na sio kila mwanaume unamleta kwako kisa unajitegemea hailet picha nzuri.
Kama wewe ni malaya basi jitahid hao wengine mkutane huko nyumba za wageni sio kila mtu unamleta kwako, maadili, heshima viko wap jamani.
Wanawake jirekebisheni.
Comrade, achana na hii kitu ya kufuatilia maisha ya watu wengine; hususani hawa dada zetu. Maana hayakuhusu. Utakuja usutwe mchana wa saa saba! Shauri yako.Wasalam wakuu.
Bila kupoteza muda twende kwenye mada, wanawake hivi kwanini husichague mtu mmoja especially baba wa mtoto ndo awe anakuja home na sio kila mwanaume unamleta kwako kisa unajitegemea hailet picha nzuri.
Kama wewe ni malaya basi jitahid hao wengine mkutane huko nyumba za wageni sio kila mtu unamleta kwako, maadili, heshima viko wap jamani.
Wanawake jirekebisheni.
Anyway its okay with youOkey,
Let you win the conversation.
I can’t argue with a fool.
Tumekuwa na taifa la watu wa ajabu sana kila uchao akili zao wamejaza umbeya kuchunguza maisha ya watu wasiowahusu. Kila mtu yupo hapa duniani kwa makusudi yake.Comrade, achana na hii kitu ya kufuatilia maisha ya watu wengine; hususani hawa dada zetu. Maana hayakuhusu. Utakuja usutwe mchana wa saa saba! Shauri yako.
Angekuwa mtu wake wa karibu sawa, anamhusu. Angemfuata amshauri. Lakini hamjui, vipi ikiwa ndio namna ya maisha yake amechagua. Anataka aishi kama yeye anavyoishi. Huu ni umbeyaAngekuwa huyo bi dada ni ndugu yako wa karibu, walau ningekushauri uongee naye ana kwa ana! Na siyo kuja kumlalamikia humu jukwaani.
Na wengine wanapigwa kazi chumbani mtoto yupo seblen,Wasalam wakuu.
Bila kupoteza muda twende kwenye mada, wanawake hivi kwanini husichague mtu mmoja especially baba wa mtoto ndo awe anakuja home na sio kila mwanaume unamleta kwako kisa unajitegemea hailet picha nzuri.
Kama wewe ni malaya basi jitahid hao wengine mkutane huko nyumba za wageni sio kila mtu unamleta kwako, maadili, heshima viko wap jamani.
Wanawake jirekebisheni.
Mtu pekee wa kumchunga ni mke wako, na watoto wakiwa chini ya usimamizi wako. Lakini watoto wakishakua na kujitegemea hapo unabaki kuwa mshauri tu.Kimsingi hayo ni maisha binafsi ya mtu huko ndani wanachofanya ni siri yao.
Mkuu nakushauri acha kufatilia maisha binafsi ya mtu siku hizi hata ndugu hatufatiliani kwenye mambo binafsi.
Umepanga chumba na seble una mtoto na binti wa kazi na bado wanaume unaleta humohumo,Kwani dhambi ya uzinzi inapungua ukifanya guest na sio nyumbani kwako?
Wacha bidada wajienjoy bwana...akiwa kwake yupo huru jee kama ana enjoy kunyeea mashuka huko guest sii aibu tupu
Honestly hayakuhusu. Wewe si mzazi wake although si mwanamke. Mwanaume kaa na mambo yakoWasalam wakuu.
Bila kupoteza muda twende kwenye mada, wanawake hivi kwanini husichague mtu mmoja especially baba wa mtoto ndo awe anakuja home na sio kila mwanaume unamleta kwako kisa unajitegemea hailet picha nzuri.
Kama wewe ni malaya basi jitahid hao wengine mkutane huko nyumba za wageni sio kila mtu unamleta kwako, maadili, heshima viko wap jamani.
Wanawake jirekebisheni.
You may not know you are a fool until you unlearn your foolishness. Don't think you unlearn by calling others fool just because they challenge your foolishnessOkey,
Let you win the conversation.
I can’t argue with a fool.