Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye

Bora umekubali πŸ˜€πŸ˜€
 
NakujuaπŸ˜‚, ndio maana nikasema sikuwezagi. Waje wabobevuπŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚Sikuhizi umeanza kuniogopa mdogowangu au kwakuwa ndo ninasura mbaya
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Sikuhizi umeanza kuniogopa mdogowangu au kwakuwa ndo ninasura mbaya
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na huku nilipo, bora niogope kwanza nisije nikafa kwavyote ikiwemo presha.
 
Huyo mgeni wa mapenzi....mie mwenyewe kuna mrembo alikuwa anasema hivyo nilikuwa nadate nae. Mwee sii akaingia mkenge wakuolewa na mtu ambaye eti watatafuta pamoja....aliyoyakuta humo ndani ya ndoa mwenye kaamua waachane tuu.
Huyu wa kwangu ni graduate na yupo shirika moja kubwa tu Kama mhasibu ila ana miezi michache kwenye ajira. Alikuwa na hofu kwasababu kila kitu ni changu eti nitamnyanyasa, sijui wanapatakaga wapi mindset hizi. Kiufupi nilimweka chini na kumjenga na kumuahidi tutatafuta vya kwetu. Mpaka sasa nipo nae
 
Bro nakwambia hivi mkimbie huyo fasta. Sio kwamba kwa sabababu mie ni pro kataa ndoa but hiyo tayari ni red flag. Kama tayari kashaonyesh hiyo mindset it will never change.
Angalia pia watu wasije wakmkula huko job😜 kuwa na backup plan. Hawa wanawake hawaeleweki mzeya trust them but not the devil inside them.
 
Haha your advice has been considered bro.
 
Mwanamke Tako

Sura ya kazi gani
 
100% frue 😁😁😁😁
 
Sasa si ndo umpemdezeshe awe Kama ulomuona kwenye picha? Wewe unataka ukute kapendezeshwa afu ndo umchukue?
Uzuri wa sura hautafutwi hio ni natural ndo maana nirahisi kumjua mwanamke mbovu wa sura au mzuri wa sura hata kama apake sijui kitu gaani au achonge sura utajua tu huyu sio tofauti na mwenye kuchonga shepu

Sura nzuri haitafutwi mkuu itajionyeshaa tu we hujawahi ona mwanamke mswahili ana bonge la sura pamoja na umasikini wake

Na hao wenye hela ndo wabovu kama nini

Pesa itasaidia to some extent tu ila ata face reality tu ye mwenyewe πŸ˜•
 
Alafu wanaume wenye sura mbaya na hawana Hela ndio wanaoongoza Kwa maneno machafu Wana makasiriko balaa huu ni utafit wanguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…