Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye

Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye

Ni kweli usemalo. Mie mwenyewe nawakandia wanawake maana kwanza on a scale of 1-10 ya uhandasome mie nipo -3, hela ndio sina nitaachaje kuwakandia wanawake ili japo nijifariji maana mbususu zao sipati. Ni kweli mi makasiriko yangu kwa wanawake ni kwana am ugly and i dnt have money.
Bora umekubali 😀😀
 
Huyo mgeni wa mapenzi....mie mwenyewe kuna mrembo alikuwa anasema hivyo nilikuwa nadate nae. Mwee sii akaingia mkenge wakuolewa na mtu ambaye eti watatafuta pamoja....aliyoyakuta humo ndani ya ndoa mwenye kaamua waachane tuu.
Huyu wa kwangu ni graduate na yupo shirika moja kubwa tu Kama mhasibu ila ana miezi michache kwenye ajira. Alikuwa na hofu kwasababu kila kitu ni changu eti nitamnyanyasa, sijui wanapatakaga wapi mindset hizi. Kiufupi nilimweka chini na kumjenga na kumuahidi tutatafuta vya kwetu. Mpaka sasa nipo nae
 
Bro nakwambia hivi mkimbie huyo fasta. Sio kwamba kwa sabababu mie ni pro kataa ndoa but hiyo tayari ni red flag. Kama tayari kashaonyesh hiyo mindset it will never change.
Angalia pia watu wasije wakmkula huko job😜 kuwa na backup plan. Hawa wanawake hawaeleweki mzeya trust them but not the devil inside them.
 
Haha your advice has been considered bro.
 
[emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090] [emoji16][emoji16][emoji16]!
Watu wamenipopoajee nahio wazo yangu[emoji119][emoji119][emoji119]
"mwanamke shepu sijui matrak sura watajua wenyewe [emoji16][emoji16][emoji16]
Mwanamke Tako

Sura ya kazi gani
 
Wanawake hasa hawa weusi hawajiamini wanatumia filter ili kuibia watu na kuwaachia majuto makubwa.

Hii imetokea jana, rafiki yangu kayakanyaga baada ya kumkimbia Mwanamke wake wa mtandaoni waliyekutana Facebook, hii imesababishwa na kakutana na sampuli mbili tofauti.

Hawa Wanawake weusi hawajitambui na hawana uhuru wa fikra na hawajikubali na wanaingiza watu king sana.

This is a stolen generation.
100% frue 😁😁😁😁
 
Sasa si ndo umpemdezeshe awe Kama ulomuona kwenye picha? Wewe unataka ukute kapendezeshwa afu ndo umchukue?
Uzuri wa sura hautafutwi hio ni natural ndo maana nirahisi kumjua mwanamke mbovu wa sura au mzuri wa sura hata kama apake sijui kitu gaani au achonge sura utajua tu huyu sio tofauti na mwenye kuchonga shepu

Sura nzuri haitafutwi mkuu itajionyeshaa tu we hujawahi ona mwanamke mswahili ana bonge la sura pamoja na umasikini wake

Na hao wenye hela ndo wabovu kama nini

Pesa itasaidia to some extent tu ila ata face reality tu ye mwenyewe 😕
 
Back
Top Bottom