Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hellow
Hii story ya kweli kabisa imetokea ivi karibuni
Kulikuwa na mdada aitwaye Tupokigwe ambaye alikuwa na mchumba wake aitwaye Chacha walipenda sana. Tupokigwe alikuwa ni mwajiliwa wa sekta binafsi alikuwa ni afisa biashara wa kampuni, ila Chacha alikuwa hana kazi jobless
Tupokigwe aliona hii sio sawa ndipo alipoanza kuongea na boss wake kuwa ana rafiki yake ana shida na kazi kajieleza sana boss akampa chagua kazi sio shida, shida mimi nataka kulala na wewe
Tupokigwe alikataa akakaa sana baada ya miezi mitatu kupita akaona mzigo mzito mwanaume anamlea tu akaenda kumwambia boss wake kuwa nimekubali ila kwa sharti moja siku utakayomwita aje kuanza kazi ndiyo siku na mimi nitakupa penzi.
Boss alikubali na boss alikuwa na kampuni nyingine akatoa maagizo kwa msimamizi wake wa kampuni B aliitwa kesho yake kazini na taarifa zikamfikia Tupokigwe aliporudi nyumbani Chacha alimpa taarifa mchumba wake Tupokigwe na kumshukuru ikumbukwe kuwa Chacha alikuwa anajua kuwa Tupokigwe anamtafutia kazi
Baada ya kuanza kazi jeuri ndio ilipoanzia tena ile siku aliyopokea mshahara wa kwaza kabisa alianza kumpiga mara matusi yote kamaliza na mpaka sasa Tupokigwe anatamani kumuacha ila hawezi anampenda sana
Mimi sikutoa ushauri kwasababu nayajua mapenzi jinsi yalivyo