Mwanamke anaanza kuhisi raha kamili ya sex anapofikisha miaka 28

Mwanamke anaweza kukuganda kwakuwa anafeel safe kuwa na wewe,saa nyingine wala sio good sex,ila kuna ile hali mtu yupo huru kwako,anajisikia salama kuwa na wewe,anajisikia yupo nyumbani,hana cha kuficha kwako kwakuwa unamkubali pamoja na mapungufu yake

Kwahiyo it's not about sex alone kuna mambo mengi ndani yake,hata kama ukisimamia ukucha na bado mwanamke asipojisikia salama kwako atakuacha
Hakika Mkuu

Ukiacha wale wajasiriaK, sehemu kubwa ya wanawake decent usalama na hisia kwao ndiyo priority.

Japokua usalama, kwa sehemu pia hauchi kugusa uchumi, ila uchumi hauwagi priority

WajasiriaK wao ni kwanja kwanza
 
Fact, ndio maana saa nyingine unakuta pisi ni kali lakini ina homeboy ambaye hana kitu au maisha yake hayaeleweki,lakini homeboy huyu anamfanya mwanamke ajifeel yupo safe na mwenye amani,mwanamke anajisikia kushea hisia zake na changamoto zake na mwamba akampa sikio mtoto mzuri na akajisikia salama
 
Hakika, wakati wa ujana wetu hayo ndiyo yalikua mapenzi

Siku hizi kuna umalaya mwingi sana, mapenzi yamekua business transaction

K imekua tradeable commodity
 
Back
Top Bottom