Mwanamke anaanza kuhisi raha kamili ya sex anapofikisha miaka 28

Hakika Mkuu

Ukiacha wale wajasiriaK, sehemu kubwa ya wanawake decent usalama na hisia kwao ndiyo priority.

Japokua usalama, kwa sehemu pia hauchi kugusa uchumi, ila uchumi hauwagi priority

WajasiriaK wao ni kwanja kwanza
 
Fact, ndio maana saa nyingine unakuta pisi ni kali lakini ina homeboy ambaye hana kitu au maisha yake hayaeleweki,lakini homeboy huyu anamfanya mwanamke ajifeel yupo safe na mwenye amani,mwanamke anajisikia kushea hisia zake na changamoto zake na mwamba akampa sikio mtoto mzuri na akajisikia salama
 
Hakika, wakati wa ujana wetu hayo ndiyo yalikua mapenzi

Siku hizi kuna umalaya mwingi sana, mapenzi yamekua business transaction

K imekua tradeable commodity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…