Mwanamke anaanza kutema mate baada ya mimba kuingia?

Mwanamke anaanza kutema mate baada ya mimba kuingia?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kuna mwanamke hapa naona kama ameanza kutematema mate na nimekutana nae wiki hiihii na ofkoz ndio alikuwa kwenye tarehe za kutiwa mimba sasa hapa nisaidieni kinadada.
 
Sio kila mimba lazima uteme mate , mimba nyingine hazina mate mkuu.

Kwahiyo mwangalie uangalie kwa yeye itakuwaje.

Mwingine anatema kipindi chote cha ujauzito, mwingine miezi kadhaa halafu yanakata.
 
Wanawake wa siku hizi wa kupiga photoshoot za mimba na kupost insta, anaanza kutema mkimaliza kubanduana tu endapo anataka hiyo mimba. Na asipoipata kwako ataenda hata kwa dereva bodaboda aipate na kukuletea wewe.

Ila sio kila mtema mate ana mimba, wengine washanyonyeshwa mavitu yenye fungus huko wanaishia kutema mimate ovyo.
 
Huyo house girl ndio umempa mimba! Unalo hilo, na hapo kakomaa hatoi mana aliutamani ukewenza sana tu. Ndio mana kakutegaa ukaingia king.
 
Back
Top Bottom