Pre GE2025 Mwanamke anahaki ya kuongoza taifa hili. Watu waelewe nchi yetu haiongozwi na Dini wala Mila na desturi bali Katiba ya Nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Njaa na ukosefu wa tumaini unapoisumbua jamii watu huja na mawazo ya kipuuzi kabisa. USA inakaribia kuwa na rais wa kwanza mwanamke katika historia, wameongozwa na marais 46 wanaume hivi sasa asili ya Mungu inaweza ikawapa rais wa jinsia ya kike.

Unakosea Sana kuhusianiasha Siasa za Dunia na mambo ya Mungu.
Mungu alishawaachia wanadamu utawala waô baad ya WANADAMU wènyewe kukataa kuongozwa na Mungu
Wangemshauri hayati JPM asimchukue Samia kama mgombea mwenza hapo ningewaona kweli wanachokisema kinatoka mioyoni mwao lakini mpaka Magufuli anaapishwa mwaka 2015 na Samia amekaa pembeni akiwa mshirika wa urais wao walikaa kimya tu.

Marekani wanaviongozi wakike wengi tuu. Hao kina Kamala na Hilary huwajui?

Na waendelee kuumia kimya kimya hivyo hivyo mpaka SSH atapoondoka ikulu.

Kagombee na Samia umpe challenge Mkûu.
Kwani tatizo liko Wapi?
 
Samia ndio rais wetu na anaweza kuwepo ikulu mpaka 2030 haya mengine ni mazungumzo baada ya habari.
 
Ni kweli kabisa kuwa serikali haina dini.

Ila raia wake wana dini.
 
Na viti maalumu viondolewe ili wapambane kwa hoja kwenye majukwaa, na ushawishi wao kwa wananchi
 
"A people which has a woman as a leader will never prosper"

Sahih al-Bukhari | Imam Muhammad al-Bukhari
 

Wàpo Wanaume pia wàpo emotional.

Unafikiri ni kitu gàni kinasababisha Wanaume wengi Kuua, kufanya ukatili, kubaka kama sio kuendeshwa na emotional?

Na wéwe unafuatilia mambo ya kiukeni Sana ndîo maana unafuatilia??
 
Kuongozwa na mwanamke ni ukengeufu wa mwanadamu,kuongozwa na mwanamke ni chukizo kwa Mungu mwanaume ndiye kichwa,hata kwenye maisha ya kawaida ya mume na mke,mwanamke akiwa kiongozi kwa mumewake hiyo siyo ndoa.
 
MWANAMKE ANAHAKI YA KUONGOZA TAÍFA HILI. WATU WAELEWE NCHI YETU HAIONGOZWI NA DINI WALA MILA NA DESTURI BALI INAONGOZWA NA KATIBA YA NCHI.



Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Bro maswala ya jinsia ya mtawala wa, TZ, ni, none issue, hata tukitawaliwa na shoga, lesibian, nk, kama Sera za uchumi zipo vzr,tutafika, mbali, tatizo letu, ma ccm hayajuhi maslahi ya nchi, au yameacha,yanachojua ni wizi tu, sasa hv naona Prado toleo jipya lipo mtaani na STK! Why keep buying these vehicle, kwanini tusiwaambie wajapan watutengenezee old model, tununue kwa bei nafuu, kenge wanapiga pesa tu,
We wananchi, dont care about Sex of our ruler, as long as the country prospers,
But this woman we have now, "she was not supposed to be President" She has failed caterstropyicaly
 
Wàpo Wanaume pia wàpo emotional.

Unafikiri ni kitu gàni kinasababisha Wanaume wengi Kuua, kufanya ukatili, kubaka kama sio kuendeshwa na emotional?

Na wéwe unafuatilia mambo ya kiukeni Sana ndîo maana unafuatilia??
Ndio wanaume emotional wapo, hayo ni matokeo ya malezi ya jikoni kama ilivyo kwako.

Mtoto wa kiume inabidi alelewe na kuongozwa kiume na mwanaume, sio mwanamke, ila siku hizi tatizo la singo maza(watu ambao huwa unawatetea pia) ndio linaotuzalishia hawa emotional men.

Mimi sifuatilii mambo ya jikoni nipo hapa kukuelekeza wewe na wengine kama wewe mzee wa kutetea wanawake a.k.a captain save the hoe
 
Kuongozwa na mwanamke ni ukengeufu wa mwanadamu,kuongozwa na mwanamke ni chukizo kwa Mungu mwanaume ndiye kichwa,hata kwenye maisha ya kawaida ya mume na mke,mwanamke akiwa kiongozi kwa mumewake hiyo siyo ndoa.

Mwanadamu alikataa kuongozwa na Mungu.

Kisiasa Mungu ndiye mtawala lakini wanadamu walimkataa.

Kifamilia Mwanaume ndiye Kiongozi yàani mtawala.
Hapo tunazungumzia Kidini.
 


Sasa kumbe unajua wàpo Wanaume àmbao nao wàpo emotional why uone Wanawake wàpo emotional kana kwamba Wanaume hawapo emotional? Hivi zina- charge kwèli.
 
Uzi huu umeandika kama mtu aliyekunywa wanzuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…