Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Lakini siyo kuongozwa na huyu failure ambaye hajui hata anafanya nini? nchi imejaa majangili tupu kwa sasa
Duuuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini siyo kuongozwa na huyu failure ambaye hajui hata anafanya nini? nchi imejaa majangili tupu kwa sasa
Mkuu samahani lakini.
Nyuzi zako nyingi, wewe na wanawake ni kitu kimoja.
Vipi utotoni mwako, ulikua unashinda sana jikoni?
Kina baba msiruhusu watoto wa kiume kukaa jikoni, madhara ni makubwa sana.
View: https://youtu.be/z-5OIKo2fug?si=dfSHXVvXMfiwqFZt
Njaa na ukosefu wa tumaini unapoisumbua jamii watu huja na mawazo ya kipuuzi kabisa. USA inakaribia kuwa na rais wa kwanza mwanamke katika historia, wameongozwa na marais 46 wanaume hivi sasa asili ya Mungu inaweza ikawapa rais wa jinsia ya kike.
Wangemshauri hayati JPM asimchukue Samia kama mgombea mwenza hapo ningewaona kweli wanachokisema kinatoka mioyoni mwao lakini mpaka Magufuli anaapishwa mwaka 2015 na Samia amekaa pembeni akiwa mshirika wa urais wao walikaa kimya tu.
Na waendelee kuumia kimya kimya hivyo hivyo mpaka SSH atapoondoka ikulu.
Samia ndio rais wetu na anaweza kuwepo ikulu mpaka 2030 haya mengine ni mazungumzo baada ya habari.Unakosea Sana kuhusianiasha Siasa za Dunia na mambo ya Mungu.
Mungu alishawaachia wanadamu utawala waô baad ya WANADAMU wènyewe kukataa kuongozwa na Mungu
Marekani wanaviongozi wakike wengi tuu. Hao kina Kamala na Hilary huwajui?
Kagombee na Samia umpe challenge Mkûu.
Kwani tatizo liko Wapi?
Samia ndio rais wetu na anaweza kuwepo ikulu mpaka 2030 haya mengine ni mazungumzo baada ya habari.
Ni kweli kabisa kuwa serikali haina dini.
Ila raia wake wana dini.
Wacha wajenge hoja wawezavyo ila mwanamke ni kiumbe alie emotional,Hoja yako ni Ipi Mkuu.
Mbona hata Baadhi ya Wanawake wanaweza kujenga hoja kukushinda?
Labda Dar wa salaam tu ndo wanatawaliwa na wanawake🤣🤣Hata Pwani, Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga ni ngumu sn
Wacha wajenge hoja wawezavyo ila mwanamke ni kiumbe alie emotional,
Suala la pili ni kwamba uko upande wa kikeni zaidi katika mambo mengi.
Yawezekana kipindi unakua ulikua unapenda sana kushinda jikoni.
View: https://youtu.be/Eeu4EISmQVI?si=COO49q2zvUXIdYLm
"A people which has a woman as a leader will never prosper"
Sahih al-Bukhari | Imam Muhammad al-Bukhari
Bro maswala ya jinsia ya mtawala wa, TZ, ni, none issue, hata tukitawaliwa na shoga, lesibian, nk, kama Sera za uchumi zipo vzr,tutafika, mbali, tatizo letu, ma ccm hayajuhi maslahi ya nchi, au yameacha,yanachojua ni wizi tu, sasa hv naona Prado toleo jipya lipo mtaani na STK! Why keep buying these vehicle, kwanini tusiwaambie wajapan watutengenezee old model, tununue kwa bei nafuu, kenge wanapiga pesa tu,MWANAMKE ANAHAKI YA KUONGOZA TAÍFA HILI. WATU WAELEWE NCHI YETU HAIONGOZWI NA DINI WALA MILA NA DESTURI BALI INAONGOZWA NA KATIBA YA NCHI.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Ndio wanaume emotional wapo, hayo ni matokeo ya malezi ya jikoni kama ilivyo kwako.Wàpo Wanaume pia wàpo emotional.
Unafikiri ni kitu gàni kinasababisha Wanaume wengi Kuua, kufanya ukatili, kubaka kama sio kuendeshwa na emotional?
Na wéwe unafuatilia mambo ya kiukeni Sana ndîo maana unafuatilia??
Kuongozwa na mwanamke ni ukengeufu wa mwanadamu,kuongozwa na mwanamke ni chukizo kwa Mungu mwanaume ndiye kichwa,hata kwenye maisha ya kawaida ya mume na mke,mwanamke akiwa kiongozi kwa mumewake hiyo siyo ndoa.
Ndio wanaume emotional wapo, hayo ni matokeo ya malezi ya jikoni kama ilivyo kwako.
Mtoto wa kiume inabidi alelewe na kuongozwa kiume na mwanaume, sio mwanamke, ila siku hizi tatizo la singo maza(watu ambao huwa unawatetea pia) ndio linaotuzalishia hawa emotional men.
Mimi sifuatilii mambo ya jikoni nipo hapa kukuelekeza wewe na wengine kama wewe mzee wa kutetea wanawake a.k.a captain save the hoe
Uzi huu umeandika kama mtu aliyekunywa wanzukiMWANAMKE ANAHAKI YA KUONGOZA TAÍFA HILI. WATU WAELEWE NCHI YETU HAIONGOZWI NA DINI WALA MILA NA DESTURI BALI INAONGOZWA NA KATIBA YA NCHI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Jàmani! Jàmani! Msijifanye hamnazo. Msiwe vipofu Wakati mnamacho.
Mimi Mtu nikimsikia akiongea mambo ya Mila na desturi akiwa anamaanisha Mila za Makabila ñàona kama anajizima data na kujitia hamnazo.
Hakuna Mila Wala desturi za kikabila tangu Ukabila ulipofutwa na kuunda Taífa la Tanzania.
Mimi Mtu akiniletea mambo ya sijui Sisi Wapare, sijui Wasukuma, sijui wahaya namwona kama anaongea mambo ya Zama za Giza yaliyokwisha kupitwa na Wakati.
Kama mlikuwa Mnataka Mila na desturi ziendelee msingeunda Taífa Moja. Kîla kabila lingeunda Taífa lake. Lakini mlikubali wènyewe kuzika Ukabila yàani Mila na desturi za kikabila ili kuunda Taífa Moja àmbalo litaongozwa na KATIBA àmbayo ndîo Mila na desturi mpya.
Oooh! Mwanamke hatakiwi KUONGOZA, sijui Mila zetu, Mila zîpi? Za Wapi? Mila zenu na Nani?
Oooh! Dini Inasema, sijui Nabii Fulani sijui mtume Fulani, sijui Kitabu Fulani kinakataza Mwanamke asiongoze.
Aliyekuambia Taífa hili linaongozwa na Dini Fulani au mtume Fulani au Nabii Fulani au kitabu Fulani ni Nani?
Nchi hii Haina Dini. Ila Watu wake wanadini na wàpo wasio na Dini.
Unaposema Dini yako inakataza Mwanamke asiongoze vipi Kwa wale wasio na Dini àmbao hawaoni shida mwanamke KUONGOZA?
Vipi Kwa Dini Ambazo zinaruhusu Mwanamke KUONGOZA?
Katiba ndîo Biblia ya Taífa hili.
Sheria za nchi ndîo Torati ya Taífa hili
Taífa letu ndîo Dini yetu watanzania.
Sisi Watibeli hatuoni shida Mwanamke KUONGOZA Ikiwa anauwezo Kwa Sababu tunajua wàpo Wanawake weñye kupenda uongozi, weñye Nia na uwezo, na weñye ujuzi wa kufanya hivyo.
Sisi kama Wanaume wa kitibeli hatutaki kupendelewa tunataka Haki.
Halikadhalika wanawake wa kitibeli hawataki kupendelewa isipokuwa Haki.
Yaani mwanamke asipewe uongozi Kwa uanamke wake Bali uwezo wake.
Watibeli hatutaki kusikia habari za VITI MAALUMU Kwa sababu Huko NI kudhalilisha Wanawake kuwa ni viumbe Duni wanaotakiwa kubebwabebwa kama MAITI zisisoweza kujitetea.
Viti maalumu ni udhalilishaji Kwa Wanawake, ukanjanja. Viti maalumu ni dhulma Kwa Wanawake Kwa sababu inawanyima Haki Wanawake kuonyesha uwezo waô halisi.
Mimi Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam