Mwanamke anahitaji kuwa na chupi ngapi na zibadilishwe baada ya muda gani

Kuwa na Pichu 364 x 9 kila siku badilisha PiCHU 9
 
Jaman mie nauza chupi,wanawake wenzangu vaen chupi kila baada ya miez mitatu tupeni tu mje mtuungishe,sio mnavaa jichupi mpaka linakua la ugoro...! bei naanzia sh 8500 kwa Dozen chupi kaliiii.
 
Wengine hatuvaagi tunapunga upepo tu tunanunua tukiwa na appointment
Haaahaaaa....kuna watu mna visa balaa...wengine hawajari hata hizo appointment maana kuna mengine ni ajari barabarani
 
Huwa kuna chupi za mtumba, kwanini watanzania hatuna kawaida ya kutoa chupi zetu zigawiwe kama mtumba
 

Kwani kawaida wanawake wanavaa chupi ngapi? At least mbili kwa siku?
 
Nadhani hii mada hainihusu...

Ngoja niendelee kunywa juice ya ukwaju uliyonitengenezea...
 
Siku za kwenda mwezini inakuaje...?
Usiku ama mtu ukishinda nyumbani sawa,vinginevyo muhimu kujitunza jmn
 
Huwa kuna chupi za mtumba, kwanini watanzania hatuna kawaida ya kutoa chupi zetu zigawiwe kama mtumba
Hahahah wazungu wanaleta chupi Africa, sie tutapeleka kuzimu amaaπŸ™‚πŸ™‚
 
Mi nadhani nnazo 20+,na kuna aina na aina ya chupi jmn....ikiendana na siku na matukioπŸ˜›...ama ukimatchisha na bra...au kutegemea na nguo unayovaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…