Mwanamke anahitaji kuwa na chupi ngapi na zibadilishwe baada ya muda gani

Hahahaaa. Kweli hapo lazima mbingu ishangae. Yaani hao hawana moyo wa kukinai nguo sababu kikawaida inafikia kipindi nguo inachosha na inahitajika kubadilishwa.

Kama hao hawaoni shida kuwa na uzi na sindano yaani kila mkanda wa brazia ukikatika anaushona kisa tu hajajipangia kununua nyingine.

Hatari sana shoga angu.
Daaah [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Baada ya miaka 2 kama Faiza Ally
Zile enzi za pichu za zaiboni sijui ni wangapi mnazikumbuka. Unavaa pichu mpaka elastic ya kiunoni unalegea unazitupa. Sasa hizi pichu za St Michael unavaa mpaka inachakaa pale makao makuu Dodoma lakini elastic ya kiunoni bado iko ngangari.

Sasa mfano nina pichu 12, nimetoa nne ni brown, nyeusi na dark blue hizi ni za zile siku za to the moon to pay monthly rent.

Hizi nane ndiyo kauka nikuvae lakini elastic zake zipo super. Nikivaa mpaka makao makuu pachakae mmh ndiyo mwanzo wa Aspirin kutafuta mchepuko huo.

Pichu tubadilishe baada ya muda gani?
 
Mwanamke mashine hautakiwi kuelewa idadi ya chupi.
Jinsi unavyokuwa na idadi kubwa ya chupi ndivyo huzuia uchakavu wa kati. Hadi chupi inatupwa kwenye dustbin haitakiwi iwe na mirangirangi ya uchakavu.
Chupi hata ukimiliki 50 ama zaidi hazitadhuru, zitakupatia uhuru wa usafi wako na hazitachakaa hadi unazitupa. Kwani bei ya chupi sh ngapi bibie!
 
3 kwa siku itapendeza usiku unaacha papuchi nayo ijue utamu wa Oxygen.

Back
Top Bottom