Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaa. Kweli kabisa swahiba.Najua wanawake mnazo nyingi tena nyingine mnazivaa siku special tu.
Mi nipo poa tu swahiba
Sawa Nafurahi kusikia hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa. Kweli kabisa swahiba.Najua wanawake mnazo nyingi tena nyingine mnazivaa siku special tu.
Mi nipo poa tu swahiba
Mmmmh
HahahaSio kuwa nkikununulia ndio ntakwambia nione ukiwa umevaa
Hahaha
Aki wewe umenishinda tabia!!! Utajuaje imenitosha sasa
ChumviHivi nini husababisha / kupelekea chupi za wadada kutoboka/kuchakaa haraka makao mkuu!!??
MmmmhSi unaniambia unavaa size gani au unanitumia picha ya mtu miili inayoendana
Jana nimekukumbuka ila sina wa kumuuliza, kumbe upo, karibu tena.Vaa mpaka ichoke au uichoke .. chupi kama nguo nyingine tu sema inagusana gusana na utamu
Hahahhh.. Kumbe table salt inapatikana hata huko!!Chumvi
Nipo mkuu mamboJana nimekukumbuka ila sina wa kumuuliza, kumbe upo, karibu tena.
Nashukuru kama u mzima.Nipo mkuu mambo
Daaah [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaa. Kweli hapo lazima mbingu ishangae. Yaani hao hawana moyo wa kukinai nguo sababu kikawaida inafikia kipindi nguo inachosha na inahitajika kubadilishwa.
Kama hao hawaoni shida kuwa na uzi na sindano yaani kila mkanda wa brazia ukikatika anaushona kisa tu hajajipangia kununua nyingine.
Hatari sana shoga angu.
Vaa mpaka ichoke au uichoke .. chupi kama nguo nyingine tu sema inagusana gusana na utamu
Zile enzi za pichu za zaiboni sijui ni wangapi mnazikumbuka. Unavaa pichu mpaka elastic ya kiunoni unalegea unazitupa. Sasa hizi pichu za St Michael unavaa mpaka inachakaa pale makao makuu Dodoma lakini elastic ya kiunoni bado iko ngangari.
Sasa mfano nina pichu 12, nimetoa nne ni brown, nyeusi na dark blue hizi ni za zile siku za to the moon to pay monthly rent.
Hizi nane ndiyo kauka nikuvae lakini elastic zake zipo super. Nikivaa mpaka makao makuu pachakae mmh ndiyo mwanzo wa Aspirin kutafuta mchepuko huo.
Pichu tubadilishe baada ya muda gani?
Mwanamke mashine hautakiwi kuelewa idadi ya chupi.Zile enzi za pichu za zaiboni sijui ni wangapi mnazikumbuka. Unavaa pichu mpaka elastic ya kiunoni unalegea unazitupa. Sasa hizi pichu za St Michael unavaa mpaka inachakaa pale makao makuu Dodoma lakini elastic ya kiunoni bado iko ngangari.
Sasa mfano nina pichu 12, nimetoa nne ni brown, nyeusi na dark blue hizi ni za zile siku za to the moon to pay monthly rent.
Hizi nane ndiyo kauka nikuvae lakini elastic zake zipo super. Nikivaa mpaka makao makuu pachakae mmh ndiyo mwanzo wa Aspirin kutafuta mchepuko huo.
Pichu tubadilishe baada ya muda gani?
Najiamini mpaka najiogopaHehehehehe
Tatizo hujiamini
Najiamini mpaka najiogopa