Mwanamke ananisumbua moyo wangu:msaada

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Kuna mpenz wangu mmoja nimekuwa na uhusiano nae kwa muda mrefu kidogo

Kwa ufupi ni mzuri naweza sema mno
Ana umbile lile pendwa na rangi flani hivi ya kinyaturu

Juz kati tulikosana kidogo na ilikuwa muda wa kulipa Kodi(huwa namlipia mm) sasa
Nikasusa kulipa

Baada ya wiki nampigia simu mama Mwenye nyumba jibu nililopewa ameshalipa kodi

Swali linalonipa shida kodi atakuwa ameipata wapi maana siku zote mm ndo nimekuwa nikimgharamikia gharama zote hata vitu vya ndani na chumba mm ndo nilimlipia Mara ya kwanza baada ya kutoka kwao.

Sasa hivi nikimpigia au kutuma SMS hajibu
Roho inaniuma maana nimetumia hela nyingi sana na kwa uzuri wake naweza kumkosa ingawa ananifilisi ila nampenda

muosha rungu
 
Mkuuuu sina cha kushauri nimeishia kucheka tu [emoji16] [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una mpango wa kumuoa au mnasogeza tu siku ?
Nilikuwa nao ila kwa kinachoendelea naona kama anajiweka mbali na mm maana hataki mawasiliano

muosha rungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…