Mwanamke ananisumbua moyo wangu:msaada

Ila kweli wewe mwosha rungu, tulia hivyo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu...Ukiona manyoya.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio walivyo,unaweza kumnunulia i phone x akamuona wa maana aliyemnunulia vocha ya mia tano au kumnunulia Bmw akamuona wa maana aliyemnunulia mafuta ya elfu 10.
 
Tafuta mkausha rungu kwani rungu litakuwa na majimaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Mkuu,mapenzi na fedha ni vitu viwili vyenye ukaribu na vinatutesa sana sisi binadamu,jaribu kuzungumza na huyo shemeji yetu politely na ufanye uchunguzi kuna jambo utalifahamu kwa baadae!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…