Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sio aliopokuwa anaishi 'physically' .....jiongezeYuko pale pale ila kodi kalipa na ilihali hana kazi
muosha rungu
Mi nadhani ukamfata direct kumuuliza kuliko kufanya maamuzi magumu,, papuchi kama tamu hamna namna suuza tu runguSijaoa mkuu ni demu wangu toka 2006 tukiwa wadogo
muosha rungu
Sawa ntajaribuMi nadhani ukamfata direct kumuuliza kuliko kufanya maamuzi magumu,, papuchi kama tamu hamna namna suuza tu rungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyo ni mkeo tayari wayback 2006?Sawa ntajaribu
muosha rungu
Ila kweli wewe mwosha rungu, tulia hivyo hivyoKuna mpenz wangu mmoja nimekuwa na uhusiano nae kwa muda mrefu kidogo
Kwa ufupi ni mzuri naweza sema mno
Ana umbile lile pendwa na rangi flani hivi ya kinyaturu
Juz kati tulikosana kidogo na ilikuwa muda wa kulipa Kodi(huwa namlipia mm) sasa
Nikasusa kulipa
Baada ya wiki nampigia simu mama Mwenye nyumba jibu nililopewa ameshalipa kodi
Swali linalonipa shida kodi atakuwa ameipata wapi maana siku zote mm ndo nimekuwa nikimgharamikia gharama zote hata vitu vya ndani na chumba mm ndo nilimlipia Mara ya kwanza baada ya kutoka kwao.
Sasa hivi nikimpigia au kutuma SMS hajibu
Roho inaniuma maana nimetumia hela nyingi sana na kwa uzuri wake naweza kumkosa ingawa ananifilisi ila nampenda
muosha rungu
Pole mkuu...Ukiona manyoya.......Kuna mpenz wangu mmoja nimekuwa na uhusiano nae kwa muda mrefu kidogo
Kwa ufupi ni mzuri naweza sema mno
Ana umbile lile pendwa na rangi flani hivi ya kinyaturu
Juz kati tulikosana kidogo na ilikuwa muda wa kulipa Kodi(huwa namlipia mm) sasa
Nikasusa kulipa
Baada ya wiki nampigia simu mama Mwenye nyumba jibu nililopewa ameshalipa kodi
Swali linalonipa shida kodi atakuwa ameipata wapi maana siku zote mm ndo nimekuwa nikimgharamikia gharama zote hata vitu vya ndani na chumba mm ndo nilimlipia Mara ya kwanza baada ya kutoka kwao.
Sasa hivi nikimpigia au kutuma SMS hajibu
Roho inaniuma maana nimetumia hela nyingi sana na kwa uzuri wake naweza kumkosa ingawa ananifilisi ila nampenda
muosha rungu
Nenda pale na uso wa mbuzi halaf muulize kwa nia njema kama haoneshi ushirikiano jua hakuihitaji ,muulize nani kamlipia kodi?Aisee hofu Yangu isije kuwa ana mtu tayari
muosha rungu
Tafuta mkausha rungu kwani rungu litakuwa na majimajiKuna mpenz wangu mmoja nimekuwa na uhusiano nae kwa muda mrefu kidogo
Kwa ufupi ni mzuri naweza sema mno
Ana umbile lile pendwa na rangi flani hivi ya kinyaturu
Juz kati tulikosana kidogo na ilikuwa muda wa kulipa Kodi(huwa namlipia mm) sasa
Nikasusa kulipa
Baada ya wiki nampigia simu mama Mwenye nyumba jibu nililopewa ameshalipa kodi
Swali linalonipa shida kodi atakuwa ameipata wapi maana siku zote mm ndo nimekuwa nikimgharamikia gharama zote hata vitu vya ndani na chumba mm ndo nilimlipia Mara ya kwanza baada ya kutoka kwao.
Sasa hivi nikimpigia au kutuma SMS hajibu
Roho inaniuma maana nimetumia hela nyingi sana na kwa uzuri wake naweza kumkosa ingawa ananifilisi ila nampenda
muosha rungu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Baada ya kugombana tena na mpenzi wake, kuna mtu pia kamtoa alipokuwa anaishi..... Kwahiyo hizo ni mbio za vijiti
Sent using Jamii Forums mobile app