Mwanamke anapendeza zaidi akivaa saa ya kike au ya kiume?

Mwanamke anapendeza zaidi akivaa saa ya kike au ya kiume?

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
12,001
Reaction score
27,175
Wakuu,

Mtindo wa maisha unabadilika kwa kasi sana,Mojawapo ya mitindo ni wanawake kuvaa saa za kiume mkononi.

Je unadhani mwanamke anapendeza zaidi akivaa saa ya Kike au ya kiume? na ipi inamfanya kuwa huru zaidi (comfortable)?

Asante.

IMG_20200625_184305_595.jpg
IMG_20200717_180126_272.jpg
cf1b7da706a9a54e91ccb0455b719a8b.jpg
 
Kwa upande wa saa....mwanamke hana uchaguzi....akivaa ya kiume anapendeza vile vile akivaa ya kike...ni maamuzi tu ya mvaaji.
 
Mwanamke, tena umkute mwanamke chochote anachovaa kina mpendeza .
Uanzie suruali za kiume , kanzu , shati, viatu hata boxer za kiume 😁😁😁 anapendeza na kuwa sexy kabisa

Kuhusu saa aina yoyote inapendeza kikubwa iwe inafit vizuri mkononi
 
Mwanamke, tena umkute mwanamke chochote anachovaa kina mpendeza .
Uanzie suruali za kiume , kanzu , shati, viatu hata boxer za kiume [emoji16][emoji16][emoji16] anapendeza na kuwa sexy kabisa

Kuhusu saa aina yoyote inapendeza kikubwa iwe inafit vizuri mkononi
Hii mpya sasa hadi kanzu?[emoji3][emoji3]
 
Kwa upande wa saa....mwanamke hana uchaguzi....akivaa ya kiume anapendeza vile vile akivaa ya kike...ni maamuzi tu ya mvaaji
Asante,ila kuna zingine huwa pana mno,hasa kwa mkono wa kike
 
Imeandikwa:
“Mwanamke asivae mavazi ya Mwanaume vivyo hivyo Mwanaume asivae mavazi ya mwanamke”

Kwa hiyo ni haramu mwanamke kuvaa suluari, Pensi, pedo n.k.

Ni tabia ya kihuni mwanamke kuvaa suluari, pensi, pedo n.k

Ni ukosefu maadili mema kwa mwanamke kuvaa mavazi hayo .
 
Back
Top Bottom