Mwanamke anapendeza zaidi akivaa saa ya kike au ya kiume?

Mwanamke anapendeza zaidi akivaa saa ya kike au ya kiume?

Imeandikwa:
“Mwanamke asivae mavazi ya Mwanaume vivyo hivyo Mwanaume asivae mavazi ya mwanamke”

Kwa hiyo ni haramu mwanamke kuvaa suluari, Pensi, pedo n.k.

Ni tabia ya kihuni mwanamke kuvaa suluari, pensi, pedo n.k

Ni ukosefu maadili mema kwa mwanamke kuvaa mavazi hayo .
Na saa je ni vazi ?
 
Nakereka kweli mdada akivaa saa ya kiume . Unakuta mdada kavaa kapendeza ila ukicheki mkononi ana boonge la saa yani aah 🤮
 
Unaanzisha match huku wewe refa umeshachagua timu ya ushindi
 
Ndio maana kuna saa zakike na zakiume.
Alafu kwani sim yake haina majira hadi avae saa mkononi..??
 
Back
Top Bottom