Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
Mikono ya nini ? Yaani usingekuwa under 18 . Ningesema sehemu mwanamke anaangaliwa sana.Mbona mimi naangaliwaga mikono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikono ya nini ? Yaani usingekuwa under 18 . Ningesema sehemu mwanamke anaangaliwa sana.Mbona mimi naangaliwaga mikono
Mikono ya nini ? Yaani usingekuwa under 18 . Ningesema sehemu mwanamke anaangaliwa sana.
Lakini si unajua ile vitu hata wanawake wanaji fake nazo kama hawana?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu mimi sio under 18
Akili inataka ikytajie inagoma.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu mimi sio under 18
HazinivutiiKwanini sio za kike?
Napenda zaidi saa kubwa, za kike nyingi ndogoSi ndio maalum kwa ajili ya wanawake,kwanini hupendi?
😂😂 Kwakweli..Ila wavaaji bado wapo wanafunzi wa sekondari ndiyo mapigo yaoInabidi watengeneza saa za kike wapunguze spidi sasa[emoji28],zitakuwa hazitoki