Mwanamke anapendeza zaidi akivaa saa ya kike au ya kiume?

Na saa je ni vazi ?
 
Nakereka kweli mdada akivaa saa ya kiume . Unakuta mdada kavaa kapendeza ila ukicheki mkononi ana boonge la saa yani aah 🤮
 
Unaanzisha match huku wewe refa umeshachagua timu ya ushindi
 
Ndio maana kuna saa zakike na zakiume.
Alafu kwani sim yake haina majira hadi avae saa mkononi..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…