Mwanamke anapoanza kukuelezea kuwa wewe ni muelewa, jua unatumika

Mwanamke anapoanza kukuelezea kuwa wewe ni muelewa, jua unatumika

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2019
Posts
2,113
Reaction score
6,251
Salaam wakuu,

Streight kwenye mada,

Kiasili mwanamke hua anatafuta upenyo wowote kumtawala mwanaume, haishangazi hata pale Eden alipoambiwa atakuwa kama Mungu alishawishika kula tunda maana daima mwanamke anajua yeye ni dhaifu na ana uchu na ulafi na mamlaka.

Mwanamke anapoanza kukuelezea kwa watu "mume wangu ni muelewa" tambua kuna mahali amepata upenyo na anautumia kisawa sawa kudanga, kuzini, nk women are masters of manipulation.

Asikwambie mtu, heshima lazima iambatane na woga kiasi. Mwanamke kama hakuogopi hata punje huyo hakuheshimu. Inaweza kuonekana kanunua ya ajabu ila ndivyo ilivyo.

Fikiria watu wote uliwahi au unaowaheshimu na utagundua kiasi fulani unahofu ya kutowakwaza, kama mwanamke haogopi kukukwaza pia hakuheshimu usifuate mameno yake wanawake wengi utawasikia "nina muheshimu Mr/mume wangu" ila ukweli ni kwamba fraction ndogo sana ya wanawake wana heshima ya dhati kwa waume zao.

Let this sink in your mind, uko mahala pa kazi na wanawake na wakaanza kukusifia wewe ni genleman bla bla bla, elewa kuna mahala wananufaika pakubwa na uzwazwa wako, wanakutumia ipasavyo.

Kwa mfano wakati fulani nikiwa muajiriwa agency fulani ya serikali, nilishashuhudia surbodinate wangu jamaa yuko ngazi sawa na mwanamke mshahara sawa ila kila siku pale kazini yeye ndiye analipia chai na lunch na usafisi na wanawake wakawa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa "fulani ni gengleman" jamaa anaona sifa huku ukimwangalia kapaukaaaa wenyewe kila siku wanabadilisha manywele ya peruvian na kujiremba haswa haswa. Chakushangaza hata kazi walikua wanalundika tu hapo utawasikia "Twendeni wekeni tu hapo kaka atakuja kusort na kuclear"

Kuna wanaume wengi wanaburuzwa na wanawake kisa kusifiwa gentleman, mwanaume wa kweli, muelewa nk kuna wanaume wanagongewa sana wake zao na huku wamefunikwa gubi gubi na blanket la sifa za kijinga "mume wangu ni muelewa"
 

Attachments

  • Screenshot_20220212-192123_Quora.jpg
    Screenshot_20220212-192123_Quora.jpg
    31.9 KB · Views: 38
Mnalalamika sana kina kaka, ni nini shida??
Wanawake wazuri na wabaya wote wapo, jichagulie atakaefurahisha moyo wako kupunguza makasiriko madogo madogo.
Upendo hunyenyekea, ukikosa kunyenyekewa achia huyo mwanamke wa mtu.
 
Mnalalamika sana kina kaka, ni nini shida??
Wanawake wazuri na wabaya wote wapo, jichagulie atakaefurahisha moyo wako kupunguza makasiriko madogo madogo.
Upendo hunyenyekea, ukikosa kunyenyekewa achia huyo mwanamke wa mtu.
Umeusoma uzi na kuelema ?! Sio katika mahusiano pekee. Nawanawake wanaowatumia wanaume maofisini na huwaita waelewa, hao wanaume nao "wajichagulie workmate watakao bla bla bla" !?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]imeisha hiyo
 
Mkuu vipi kama ni muelewa kweli mfano kaomba mechi halafu nikawa off mood na nikaeleza hivyo na hachukii anajua tu kuna siku nyingine.Je hapo anakuwa katumika?
 
Back
Top Bottom