Mwanamke anapoanza kukuelezea kuwa wewe ni muelewa, jua unatumika

Mkuu vipi kama ni muelewa kweli mfano kaomba mechi halafu nikawa off mood na nikaeleza hivyo na hachukii anajua tu kuna siku nyingine.Je hapo anakuwa katumika?

Hiyo terminojogy "muelewa" wanawake wahaitumii katika muktadha huo. Wanawake wanatumia hyo terminology kumanisha "sio mnonko"
 
Kajala kapewa u-manager&CEO hapo konde gang music, ngoja tusubiri matokeo, vijana watakuelewa unachozungumza hapa.
 
Kuwa Mr nice Guy kwa Mwanamke ni kujitafutia mateso. Kuwa na na busara tu inatosha lkn sio kuwa mr nice guy. Na km hujui wanawake wanapenda sana wanaume wasiowapa attention yoyote
 
Mnalalamika sana kina kaka, ni nini shida??
Wanawake wazuri na wabaya wote wapo, jichagulie atakaefurahisha moyo wako kupunguza makasiriko madogo madogo.
Upendo hunyenyekea, ukikosa kunyenyekewa achia huyo mwanamke wa mtu.
Wakiachwa ndio masingle mother wanaongezeka.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…