katib mkoa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,573
- 2,167
ila sio sley kwin kama uyoInawezekana ni igizo lakin mkuu amini usiamini mtaani wapo kinoma..
uyo unamkamata rasta moja unavuta unahahakisha umeng'oa 😆😆
ila sio sley kwin kama uyoInawezekana ni igizo lakin mkuu amini usiamini mtaani wapo kinoma..
Ukiikamata rasta moja hatoumia..yani hapo inatakiwa uzikamate zote kwa pamoja unaziviringa mkono mmoja unaenda nae popote unapotaka🤣🤣🤣mdomo lazima ukate..ila sio sley kwin kama uyo
uyo unamkamata rasta moja unavuta unahahakisha umeng'oa 😆😆
Hahaha sifikirii upande mmoja nawaza upande wa pili pia je mwanamke mwenye tabia kama hii akikungutwa utasema ameonewa? Huwezi jua labda Uchebe alipewa nako ndio akaamua kujibu mapigo,Team Uchebe mnataka kuhalalisha sio? [emoji16][emoji16]
🤕🏋️♂️🤼♂️🤺Si kasema umuue🤪🤪🤪unamzibua vitasa mpaka anakata moto.mtakutana mbinguni.
Uchebe upo wap😁😁😁Toa maoni yako, wew kama hakimu huyu jamaa kama alimpiga mpenzi/mke wake ungetoa hukumu gani?
View attachment 1502780
🧘🏼♀️🧘🏼♀️🧘🏼♀️🧘🏼♀️🎈🎈🤕🏋️♂️🤼♂️🤺
🤔🤔☀️🤯💥🧘🏼♀️🧘🏼♀️🧘🏼♀️🧘🏼♀️🎈🎈
Hebu toa huo mkono shavuni tunene kwa lugha🤔🤔☀️🤯💥
Ukiogopa kupigwa then unakuwa na adabu. Najua haikuanza hivi hivi lazima ulichezea mbalata katika moja ya mahusiano yako huko nyuma.Si kasema umuue jmani ama!
Hivi kwa mdomo huo kweli utaacha kuchezea ndoo kweli😂😂
Na mwanamke akishafikia huko ujue hata mbele za watu anaweza kukudhalilisha tu.
Yeye si kaamua kumchokonoa shetani😅😅
Ndoo,vinazi,mateke kama ya mjeda mdomo unafunga wenyewe safi kabisa bila tabu 🤪🤪
Binafsi naogopa kupigwa jmni 🙆♀️🙆♀️🙆♀️ Hapana naogopa aiseh
Hahahahahahahah nakubali 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nakumbuka kuna kipigo hevi sana alinipiga baba😅😅😅aise tangu kipindi kile nikajikuta naogopa kupigwa mpka nimekuwa.Ukiogopa kupigwa then unakuwa na adabu. Najua haikuanza hivi hivi lazima ulichezea mbalata katika moja ya mahusiano yako huko nyuma.
Mwanamke bila kumzabua sometimes anakuchukulia kama mwanamke mwenziwe.
Eeh hio ndio inatakiwa sasa, mzee alifanya kazi nzuri kukurekebisha tabia. Huyo mgogo alikudunda sababu gani?Nakumbuka kuna kipigo hevi sana alinipiga baba😅😅😅aise tangu kipindi kile nikajikuta naogopa kupigwa mpka nimekuwa.
Kuna husiano moja hilo mwaka fulani lilinishindaga aise yule mgogo alikuwa anamkono kama karatasi.🤪🤪🤪alikuwa ananionea 💯😅😅
Eeh hio ndio inatakiwa sasa, mzee alifanya kazi nzuri kukurekebisha tabia. Huyo mgogo alikudunda sababu gani?Nakumbuka kuna kipigo hevi sana alinipiga baba😅😅😅aise tangu kipindi kile nikajikuta naogopa kupigwa mpka nimekuwa.
Kuna husiano moja hilo mwaka fulani lilinishindaga aise yule mgogo alikuwa anamkono kama karatasi.🤪🤪🤪alikuwa ananionea 💯😅😅
[emoji1][emoji1]Ningemshauri jamaa aende akampige upya Demu wake Kwa ukuni(dushe) mpaka asikie harufu ya mishikaki mishikaki
Kwakweli yule mzee alijua kuninyoosha akishirikiana na mkewe😅😅Eeh hio ndio inatakiwa sasa, mzee alifanya kazi nzuri kukurekebisha tabia. Huyo mgogo alikudunda sababu gani?
Ila sahizi ukiwa na mwanamume unakuwa na adabu full. Hamna nyodo za kijinga wala kupepeta domo.Kwakweli yule mzee alijua kuninyoosha akishirikiana na mkewe😅😅
Kunichagulia nijivike magagulo na wivu uliopitiliza😅😅😅 mjinga yule😅😅
Miaka inaenda kasi mno aise siamini kama mie ndie wa mwaka ule🤣🤣
Full adabu nilikuwa nayo na nitaendelea kuwa nayo mwamba.Ila sahizi ukiwa na mwanamume unakuwa na adabu full. Hamna nyodo za kijinga wala kupepeta domo.