Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Unawaambieje wenzio akina shishi kuhusiana na adabu kwa waume?Full adabu nilikuwa nayo na nitaendelea kuwa nayo mwamba.
Mshkaji alikuwa mizenguo tu na wivu wake kama nyenyere🤣🤣hakuna cha maana.
Wanaume wenyeww wachache hivi unapata ujasiri gani wa kupepeta mdomo boss wangu😅😅adabu lazima ifuate mkondo wake inapokuja swala la mwanamke kumheshimu mwanaume wake