Mwanamke anasema nipige niue: Ingekuwa wewe ni hakimu, ungetoa hukumu gani kwa huyu mwanaume?

ila sio sley kwin kama uyo

uyo unamkamata rasta moja unavuta unahahakisha umeng'oa 😆😆
Ukiikamata rasta moja hatoumia..yani hapo inatakiwa uzikamate zote kwa pamoja unaziviringa mkono mmoja unaenda nae popote unapotaka🤣🤣🤣mdomo lazima ukate..
 
Team Uchebe mnataka kuhalalisha sio? [emoji16][emoji16]
Hahaha sifikirii upande mmoja nawaza upande wa pili pia je mwanamke mwenye tabia kama hii akikungutwa utasema ameonewa? Huwezi jua labda Uchebe alipewa nako ndio akaamua kujibu mapigo,
 
Ukiogopa kupigwa then unakuwa na adabu. Najua haikuanza hivi hivi lazima ulichezea mbalata katika moja ya mahusiano yako huko nyuma.

Mwanamke bila kumzabua sometimes anakuchukulia kama mwanamke mwenziwe.
 
Nakumbuka kuna kipigo hevi sana alinipiga baba😅😅😅aise tangu kipindi kile nikajikuta naogopa kupigwa mpka nimekuwa.

Kuna husiano moja hilo mwaka fulani lilinishindaga aise yule mgogo alikuwa anamkono kama karatasi.🤪🤪🤪alikuwa ananionea 💯😅😅
 
Eeh hio ndio inatakiwa sasa, mzee alifanya kazi nzuri kukurekebisha tabia. Huyo mgogo alikudunda sababu gani?
 
Kwakweli yule mzee alijua kuninyoosha akishirikiana na mkewe😅😅

Kunichagulia nijivike magagulo na wivu uliopitiliza😅😅😅 mjinga yule😅😅

Miaka inaenda kasi mno aise siamini kama mie ndie wa mwaka ule🤣🤣
 
Ila sahizi ukiwa na mwanamume unakuwa na adabu full. Hamna nyodo za kijinga wala kupepeta domo.
 
Ila sahizi ukiwa na mwanamume unakuwa na adabu full. Hamna nyodo za kijinga wala kupepeta domo.
Full adabu nilikuwa nayo na nitaendelea kuwa nayo mwamba.

Mshkaji alikuwa mizenguo tu na wivu wake kama nyenyere🤣🤣hakuna cha maana.

Wanaume wenyeww wachache hivi unapata ujasiri gani wa kupepeta mdomo boss wangu😅😅adabu lazima ifuate mkondo wake inapokuja swala la mwanamke kumheshimu mwanaume wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…