Mwanamke anasema nipige niue: Ingekuwa wewe ni hakimu, ungetoa hukumu gani kwa huyu mwanaume?

Unawaambieje wenzio akina shishi kuhusiana na adabu kwa waume?
 
Unawaambieje wenzio akina shishi kuhusiana na adabu kwa waume?
Hata dunia ipinduke kichwa chini miguu juu mwanamke hawezi kuwa sawa namwanaume tuwaheshimu wanaume zetu na tuwe na adabu.mkutano wa beijing ni kutengeneza singo familiz..

Na nyie wanaume mkae kwwnye nafasi zenu,muishi na sisi kwa akili,mtupende,muache kulalamika ovyo.
Maana kuna wanaume humu wanajua kulalamikia wanawake mpka unajiuliza hivi huyuu..kazaliwa chini ya umri ama..🤔🤔
 
Poleee lkn nandhan ulijifunza na kuacha kimdomodomo
 
Good ww unaweza ukawa mmoja ya wanawake wanaojitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…