Mwanamke anataka Tuzae kabla ya kufahamiana zaidi

Mwenye hekima hufikiri sana, kuwa makini broo, yani kuwa makini haswa huyo ana target fulani,
 
Asante sana Mkuu ndio maana naipenda Jamii Forum
 
Mwenye hekima hufikiri sana, kuwa makini broo, yani kuwa makini haswa huyo ana target fulani,
Yaani ndio nimeshindwa fahamu target yake naweza waza ànafikiri mbali
 
Kwahiyo blaza kaishu kama haka nako ni kakuomba ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…